New Multi-Function Hall at State House

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Tutawaambia Watanzania kila wakati kuwa serikali ya Chama Cha Mapinduzi imejaa wezi wa mali zao na muda umefika sasa Watanzania wajiandae kuibadili. Huku la posho, madaktari, katiba na matumizi ya mabovu ya fedha katika safari za nje ya nchi kwa viongozi waandamizi wa nchi likiendelea; washirikishe Watanzania kuhusu hili la ujenzi wa ukumbi mpya katika Ikulu ya Dar es Salaam.

Maswali ya msingi:

1.... Kuna umuhimu gani kufanya mradi huu.

2. Mradi una gharama kiasi gani.

3. Nani watalipa gharama hizi.

4. Kwa nini mkandarasi amepatikana pasipo kutanganzwa kama Public Procurement Act inavyotaka (PPA)

5. Tender board ilitumia vigezo vipi?

6. Hii nayo ni sehemu ya kuhamishia Ikulu Dodoma? (CDA inatumia fedha za walipa kodi ikiwa na kauli mbiu ile ile yakuifanya Dodoma kuwa makao makuu!)

4.jpg


2.jpg


Client: PRESIDENT'S OFFICE, STATE HOUSE

Project: New Multi-Function Hall

Location: State House, Dar es Salaam

Completion: Construction to commence 2012

Floor Area: 6000m2

Contract Value: Secret
 
Namkumbuka sana babu yangu ambaye siku zote aliniambia kwamba, sizo nyingi ni nzuri, na siku mbaya ni moja na haijulikani. Ipo siku. Acha watuone tunawachekea tu. Ila ipo siku watatamani ardhi ipasuke.
 
Sasa party zote hizo ulitaka wazifanyie wapi???

Wanapunguza gharama ya kwenda kukodi kumbi za mahotelini na mtaani. Si unajua tena jinsi serikali ilivyo na mikakati ya kubana matumizi?? Nasubiri mchango wa Rejeo na FF!!
 
Wakiwa wanapiga porojo watadai eti "hata Ikulu ni mali ya Wananchi". Sasa iweje kuwa mali yetu halafu kuwe na ujenzi wa ukumbi wa mikutano wa siri -- au wanajenga torture facilities?
 
Ukumbi kwa ajili ya kuburudishwa kwa kwaya na taarabu za kundi la TOT chini ya Kapteni Komba na Malkia wa mipasho Kopa
 
ikulu yetu,,inazidi kuimarishwa kuwa kijiwe cha kunywea kahawa!!!!!! bado kitambo kidogo tutasikia
 
Ukiufuatilia sana utawala wa idiot JK unaweza ukaumwa na degedege bure!!
 
Client: PRESIDENT'S OFFICE, STATE HOUSE
Project: New Multi-Function Hall
Location: State House, Dar es Salaam
Completion: Construction to commence 2012
Floor Area: 6000m2
Contract Value: Not Available

A new major multi-function venue at State House intended to cater for Banquets of up to 500 guests as well as international conferences. The main plenary space is supported by full, international standard, kitchen facilities as well as break out rooms, press areas, pre-function gathering areas and VIP suites.

In order to minimize the impact on the State House surroundings the function hall has been designed to have a green (grass) roof so it blends into the surrounding landscaping. It has also been designed around an existing mature baobab tree which forms the centerpiece of the pre-function area.

1.jpg


3.jpg


4.jpg


5.jpg


6.jpg


7.jpg



8.jpg



9.jpg


10.jpg


Source: IPA
 
Je, serikali inakusudia kutekeleza hilo kule State House Chamwino Dodoma kwa kuendana na azma yetu kama taifa kuhamia kule kwenye mji mpya wa kiutawala kule Dodoma au ni yale yale siasa kama kawa kuendelea kubananisha kila kitu kwenye shombo ya samaki pale Magogoni?

Tafakari juu ya viongozi wetu na unafiki wao uliotukuka juu ya kila jambo walisemalo na kutekeleza kinyume chake kesho yake tu.
 
another perfect example of mis appropriation of funds.
while the govt is telling the public that it does not have funds to put books and necessary equipment in thousands of our schools at
the same time they have millions to waste into buildings which we don't even need.
 
another proof of our miscellaneous priorities! halafu wapo wanaodai tuna watawala makini! hovyoooo kabisaaaaaa
 
On whose interest and priority is the contemplated project, to serve what burning purpose and is it the next best wise thing to do in a country that is currently walking an economic-tight-rope?

Hawa viongozi wetu Magogoni ni ishara kweli ya viongozi bora with sound judgment for the nation au ni ukamilisho tu wa ule usemi wa bora viongozi???????????

Mwenye macho haambiwi tazama. Is it really necessary for the time being?
 
Pale karibu na ubalozi wa UK kuna jengo la wizara ya mambo ya nje lenye sifa zaidi ya ujenzi huu,linajengwa na wachina,na sio mbali na ikulu why wana miss use pesa zetu hawa watawala?
Mwenye macho haambiwi tazama. Is it really necessary for the time being?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom