New Multi-Function Hall at State House

Jamani hii ni kweli?????
Kama ni kweli basi Mungu atunusuru na majanga ya kitaifa yanayoweza kutokea na mungu ashushe neema na kuwabadili mawazo viongozi wetu wajue nini ni priority kwa Tanzania
 
tuombe chanzo cha taarifa kabla ya kujichuuza kuchangia

Chanzo nimeweka hapo juu. Usisome nusu nusu. Otherwise gonga hapa: IPA

IPA are architects and interior designers for a major renovation of the State House in Dar es Salaam which commenced in 1999 and is now nearing the end of the third and final phase of the work. The State House was originally built as the first British Governor's Residence and offices in 1923 and has been extended over the years to incorporate a banquet hall, visiting heads of state accommodation and the offices of the President and Vice President.

The State House renovation is the most prestigious construction project to take place in Tanzania in recent years. The renovation work has included not only a comprehensive overhaul of the building fabric (new roof, finishes, services, toilets, etc) but also new custom designed furniture, carpets and curtains which have been specially designed by IPA for this building.

Source: http://www.ipatanzania.com/projects/brochure/state_house_refurbishment/state_house_refurbishment.pdf
 
Sasa hili Jengo inaoyesha liko Karibu sana na Nyumba ya Rais; itakuwa salama kwa watoto wa Rais na Wajukuu wanaokaa kwake?

Au itabidi pia Wamjengee Nyumba Mpya ya Rais ana Miaka 2 tu imebaki... utamu wa Urais hautaisha kama ni hivyo

Mliona Nyerere alivyoiacha Ikulu?
 
Chanzo nimeweka hapo juu. Usisome nusu nusu. Otherwise gonga hapa: IPA

IPA are architects and interior designers for a major renovation of the State House in Dar es Salaam which commenced in 1999 and is now nearing the end of the third and final phase of the work. The State House was originally built as the first British Governor’s Residence and offices in 1923 and has been extended over the years to incorporate a banquet hall, visiting heads of state accommodation and the offices of the President and Vice President.

The State House renovation is the most prestigious construction project to take place in Tanzania in recent years. The renovation work has included not only a comprehensive overhaul of the building fabric (new roof, finishes, services, toilets, etc) but also new custom designed furniture, carpets and curtains which have been specially designed by IPA for this building.

Source: http://www.ipatanzania.com/projects/brochure/state_house_refurbishment/state_house_refurbishment.pdf

IPA - Ian Pattie Associates, John Kery is the chief MD of the Foreign Architectural Firm originated from Ireland a close friend of Ret. Pres Benjamin Mkapa

he is a very smart Architect
 
IPA - Ian Pattie Associates, John Kery is the chief MD of the Foreign Architectural Firm originated from Ireland a close friend of Ret. Pres Benjamin Mkapa

he is a very smart Architect

I see. Their clients in Tanzania.

Presidents Office, State House, Tanzania
National Microfinace Bank
World Bank
Prime Ministers Office, Tanzania
Barrick Gold Corporation
Exim Bank
British High Commission
Government of Canada
US Embassy, Dar es Salaam
Standard Chartered Bank
Sheraton Hotels
Theatre Square Ltd.
RJ Reynolds
National Bank of Commence
DT. Dobie Tanzania
CMC Automobiles
Vodacom Tanzania
Skanska
Cabo Delgado Biodiversity and Tourism Project
Commonwealth Development Corporation
ZEK Properties
Kahama Mining Corporation Ltd.
Association of Jehovah's Witnesses, Tanzania
President Office, Public Service Management
Retired President Benjamin Mkapa
 
Oooh!! God bless Tanzania because its people (indeed leaders) are sick, hommie, beast, corrupt, power mongers, fraudsters, invisionary men.
 
Kuna habari kule kwenye ile topiki kuwa lile jengo jipya pale ikulu litajengwa na NSSF ili kuepuka malalamiko kuwa pesa zinatoka kwenye bajeti za nje

kuna ukweli gani kuhusu hili?
 
I see. Their clients in Tanzania.

Presidents Office, State House, Tanzania
National Microfinace Bank
World Bank
Prime Ministers Office, Tanzania
Barrick Gold Corporation
Exim Bank
British High Commission
Government of Canada
US Embassy, Dar es Salaam
Standard Chartered Bank
Sheraton Hotels
Theatre Square Ltd.
RJ Reynolds
National Bank of Commence
DT. Dobie Tanzania
CMC Automobiles
Vodacom Tanzania
Skanska
Cabo Delgado Biodiversity and Tourism Project
Commonwealth Development Corporation
ZEK Properties
Kahama Mining Corporation Ltd.
Association of Jehovah’s Witnesses, Tanzania
President Office, Public Service Management
Retired President Benjamin Mkapa

sure, IPA designed the luxury hotel in Lushoto owned by Ret. Pre Ben Mkapa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
so what happened to the other thread EMT?

Yaani siku hizi mpaka kuanzisha threads mnashindana?
 
Nyerere for 27 years preserved the State house and a "mini zoo"

Mwinyi for 10 yrs constructed the wall to mark boundaries of State House with destruction of the named zoo,OMG!.

Mkapa for 10 years did major renovation including installation of CCTV.

Kikwete for six years do repair of the walls by painting. Then, .....
 
OK, kama lazima hili dude lijengwe, basi wafanye yafuatayo;

1. Lijengwe na macontractor wa Tanzania. Ikiwezekana, kuwe kuna premium kwa contractor atayotoa tender bid inayozingatia ajira nyingi kwa wananchi kuliko kutumia mashine tu.

2. Lijengwe kwa namna ambayo linaweza ku-host mikutano mikubwa kama lile la WEF lililofanyika mwaka juzi pale Mlimani City. Hii itapunguzia wananchi wa Dar adha ya foleni.

3. Vile vile siyo vibaya wakifungua Ikulu kwa watu kutembelea na kujionea. Of course kutembelea kuwe kuna ratibiwa na kusimamiwa kwa hali ya juu. Sioni ubaya wa, kwa mfano, watoto wa shule kuruhusiwa kutembelea mjengo na kuona historia ya nchi yetu.
 
Do we really need that non sense building in Dar? Kama kweli wanalitaka hilo jengo, I will support them in Dodoma, ili tuone wkeli wana nia ya kuhamia Dodoma!!!

Na hiyo ni mwanzo tu, subiri gharama za ujenzi wake!!! Watu ndo wanatokea hapo!! Come 2015 ahaaa, watu wanachekelea na kustaafu salama!!
 
Thamani halisi ya kiongozi kwa jamii yake hubainika wazi kutokana na aina ya maamuzi anayoyafanya na aina ya mwitiko unaopatikana katika hayo ayaamuao katika taifa; anayehitaji ukumbi wa kimataifa pale ikulu ni nani?
 





Martin Luther King Jr. " The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort, but where he stands at times of challenge and controversy.



" John C. Maxwell."If you are a leader , it's not enough to know what to do . You have to know when to act."


TAFAKARI NA CHUKUA HATUA
 
Hivi ni kweli CCM sasa hivi kimekata tamaa kiasi hiki na kuanza kufanya maauzi yasiokua na hata chembe cha uwazi na kuchangia kukiua haraka hivi??
 
Back
Top Bottom