Tekelinalokujia
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 353
- 40
Angekwenda kujenga kwenye masaburi yenu mngeona ni sawa tu.
Hivi wewe ndugu haya majibu yako ni nini haswa? una hasira? umelewa? ama ? maana hueleweki kwanini unaropokwa tuu na maneno yasiyo na tija wala msaada. alafu utakuta ni mtu mzima na akili zako na ingekua uko hadharani unaangaliwa kweli ungekua unajisemea hivi? tue mature kuwa unaweza ku-comment bila kuonekana hakumaanishi ujiropokee tu kukera watu. kama unaona chungu unamezea na juisi ndugu.