KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
37,871
82,520
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma?

Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa nini hajui? Alafu tuna ndoto za kupata watalii zaidi, utawapata wapi wakati wakija tu Dar hali ni mbaya kila eneo mpaka airport, ule uwanja kwa sasa umekuwa ni jehanam, kuna baadhi ya watalii walipoingia tu Dar kesho yake wakageuza kurudi, mana walipofika hali ni mbaya, joto kali airport mpaka mtaani.

Nauliza swali, je, hii hali itaisha lini mana hakuna anayejali kabisa, na watanzania kama kawaida yao wamekaa kimya.
 
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma?

Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa nini hajui? Alafu tuna ndoto za kupata watalii zaidi, utawapata wapi wakati wakija tu Dar hali ni mbaya kila eneo mpaka airport, ule uwanja kwa sasa umekuwa ni jehanam, kuna baadhi ya watalii walipoingia tu Dar kesho yake wakageuza kurudi, mana walipofika hali ni mbaya, joto kali airport mpaka mtaani.

Nauliza swali, je, hii hali itaisha lini mana hakuna anayejali kabisa, na watanzania kama kawaida yao wamekaa kimya.
Sio lazima awe na NIDA acha upayukaji.
 
Kwanza mimi nilichoshwa kile kisehemu walinikataza kukaa kwa kuwa kimetengwa kwa wafanyakazi kupiga soga katikati ya pilika za abiria wakihangaika na mizigo kusubiri muda wa ku check in eti wao wana mabenchi yao ya kukaa na kupiga soga za simba na yanga
 
Nipe majina yako matatu kama yanavyoonekana kwenye kitambulisho cha NIDA ili tufuatilie

Acha kutisha watu we kiazi uzembe wako na baba yako usitake watu wakubebee miaka hiyo myeusi ishapita! Huwezi kufanya upumbavu na watu wakisema utishie kuwajua katatue tatizo we na mzazi wake huduma ziendelee tunazolipia jasho letu! Hatupati misaada tunatoa jasho letu acha umalaya na uchawa
 
Kuna vitu serikali hawaelewi, vivutio Sio lazima viwe ni natural Wild Life, island natural resources.

Lakini miundo mbinu mizuri, umeme wa uwakiki, maji safi na salama, huduma za AFYA za umakini, barabara, internet yenye speed na nafuu, usalama wa uwakika. Architecture

Jiji la Paris linaingiza watalii wengi Kwa mwaka Kuliko tz + Zanzibar yote
 
Kwa uhalisia uwanja uliojengwa ni mkubwa kuliko, na watz hawasafiri.

Dodoma ndo itakuwa aibu maana uwanja mkubwa ila abiria sasa
 
Back
Top Bottom