Tetere Enjiwa
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 217
- 65
Mkuu Nyerere amejijengea nini Butiama? Hata nyumba ya kuishi alijengewa na Jeshi. Sasa sielewi labda utujuze mkuu. Inaonyesha una taarifa za ndani sana.
Kingine utake usitake. Bagamoyo siyo sawa kujenga Bandari Mpya. Kidogo naweza kukubaliana na uwanja wa ndege ila siyo Bandari.
Yeye kaingia madaraka kipaumbele chake cha kwanza ni kuanza kujijengea hekalu huko msoga. Alikuwa hana hata uhakika wa kupata awamu ya pili hivyo akaona ajiwahi. Mimi na sema kwa staili hii ya uongozi wake anaonyesha kila dalili za kushindwa lazima tufike mahahali tuangalie uwezekano wa kuchukua majengo yale kuyafanya vyuo au ya shughuli nyingine za kijamii. Kuna sababu gani ya kumuenzi mtu ambaye hana la maana alillofanya zaidi ya kuwaingiza wananchi wake kwenye shida ambazo hazionyeshi dalili yeyote ya kupatiwa ufumbuzi.
Mwingine anawambia Mwanza wajenge kwa hela za manispaa yao, tukuulize huu wa bagamoyo uanajengwa kwa fedha za halmashauri yao au ni za watanzania wote? hiyo bagamoyo ilikuwa na inamchango gani kwenye pato la tanzania mpaka sasa mlalamike kuwa ilikuwa marginalise, Nitaendelea kumfagilia sana Masaburi maana wenye sifa hizo ni wengi mno.