New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.

Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.

Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?
kulikuwa kuna mantiki gani ya kujenga stadium pembeni ya uhuru stadium?

Zomba naona masaburi yako yanafanya kazi inayotakiwa. ! Watu wanajadili economical implications za kuweka bandari Bagamoyo wakati barabara ya Msata Bagamoyow atu wameila na Dar Bagamoyo barabara yenyewe kimeo tu.

I daunt kama hivyo vitu vitajengwa, I am ready to swallow my own owrds huo mardi ukimalizaka kwasababu 110% watu wataoa sana na kuzitwanga hizo pesa bila jambo lolote kutokea.

Mi nilidhani tungekuwa strategic kupanua bandaria ya Mtwara na kujenga barabara ili kupokea na kusafirisha mizigo ya Zambia, Malawi na Mozambique kutokea pale kumbe tunajenga Bagamoyo ili kupokea vitu feki kutoka China na kujaza Kariakoo....Inaudhi!

• Thanks
Reactions: FJM
tatizo la kiongozi wetu ninalo liona ni kuwa anashindwa kuwa na vipaumbele katka kuijenga Tanzania

kinachonekana kwa macho ya mtu wa kawaida ni kutaka kila kitu kiwepo alikozaliwa ikiwa kama kuonekana mwema nyumbani kwa watu wa kwao
lakini anasahau kuwa hilo alitamsaidia yeye binafsi pale atakapomaliza muda wake

kwani miradi mingi itasimamishwa kama yeye alivyofanya kwenye uwanja wa ndege wa Mbeya na sehemu zingine

hili ni tatizo pia la wabunge wetu kwa kuliacha lipite bila kupata maelezo na hata kuliondoa kwenye bajeti
mungu ibariki Tanzania

• Thanks
Reactions: FJM
kulikuwa kuna mantiki gani ya kujenga stadium pembeni ya uhuru stadium?

Mmoja wa mpira mwingine wa gwaride nafikiri hilo ndio jibu la kiwango chako. kuhusu maamuzi ya hawa viogozi wetu umefika wakati wa kufanya uchunguzi wa akili zao.

Hivi vyakula na magonjwa ya siku hizi unaweza kukuta vina athiri akili za watu. Sasa tufanye utaratibu wa kikatiba wa kuhakikisha tunapima na kumonitor afya na hasa akili za hawa wanaotuongoza. Maamuzi mengine na matamshi yao mtu unashawishika kutilia qn mark uwezo wa akili zao.

Si unajua hako kawilaya ndio nyumbani kwa Vasco Da Gama?Bwana,wewe vipi?Lazima tukaendeleze, wewe hujui kwamba Wakwere wanahitaji ajira,alaa.
Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.

Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.

Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?

Haiwezi kuunganishwa hii umeona aliyeianzisha ni nani?

Back to the topic - Hivyo ndivyo vipaumbele vya m k w e r e , hekalu analojenga lazima liwe na airport karibu na bandari unaonaje?

Hivi Mwanza kwa utajiri mlio nao mikoa hiyo, kinawashinda nini kujenga uwanja wa ndege kupitia bajeti zenu za mkoa? mpaka mngoje Serikali kuu iwafanyie kila kitu? wacheni kuwa legelege, wakati wa kufanyiwa kila kitu na Serikali umepitwa na wakati.

Zomba zombe huna pointi hapa kwani faida yote ya madini na maliasili inachukuliwa na serikali kuu then wanagawa kiduchu kwa kila mkoa ukiwemo Mwanza.

Ni wajibu wa serikali kuhudumia uwanja wa Mwanza kama inavyotaka kufanya kwenye ujenzi wa bandari Bagamoyo na uwanja wa kimataifa. Hivi kumbe JK hata vipaumbele vya jimbo lake hajui na hapa ndipo tunapo question uwezo wake wa kufikiri na malengo aliyo nayo kwa hii nchi.

Hivi kuna economic importance gani kubwa kusababisha Bagamoyo kuwa na uwanja wa Kimataifa na Bandari kubwa wakati Dar. ipo. Huyu Jk aidha huwa hasomi historia au ni mwepesi wa kusahau kwani anayotaka kufanya ndivyo akina Mabutu na Banda wa malawi walivyofanya walipohamishia miundo mbinu zote muhimu ktk vijiji na wilaya za nyumbani kwao.

Hii inashangaza sana kwa rais kutumia vibaya madaraka kutapanya resource chache tulizonazo kuweka miundo mbinu ambayo siyo ya lazima wilayani kwake ila akistaafu safari zake za majuu awe anaondokea humo kwa mumo.

Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.

Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.

Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?
huu ni wakati wa kupeleka maendeleo kwenye mikoa iliyosahaulika;
pwani
lindi
mtwara
kigoma
rukwa

kwenu lami ziliwekwa mpaka chooni, sisi tulikuwa kimya tu; viwanja vya ndege, bandari zilijengwa sisi tulikuwa kimya tu! sasa zamu yenu na ninyi kuwa kimya ili nasi tupate maendeleo

huu ni wakati wa kupeleka maendeleo kwenye mikoa iliyosahaulika;

pwani

lindi

mtwara

kigoma

rukwa

kwenu lami ziliwekwa mpaka chooni, sisi tulikuwa kimya tu; viwanja vya ndege, bandari zilijengwa sisi tulikuwa kimya tu! sasa zamu yenu na ninyi kuwa kimya ili nasi tupate maendeleo

Hivi Mwanza kwa utajiri mlio nao mikoa hiyo, kinawashinda nini kujenga uwanja wa ndege kupitia bajeti zenu za mkoa? mpaka mngoje Serikali kuu iwafanyie kila kitu? wacheni kuwa legelege, wakati wa kufanyiwa kila kitu na Serikali umepitwa na wakati.
Pesa zote tunazo kusanya kutoka minofu ya samaki zaidi ya 1billion kwa mwaka, dhahabu kutoka geita, kodin mbalimbali zote hutumwa Dar (Hazina) halafu ndiyo hupangiwa matumizi kwa hiyo sisi hatuwezi kuendelea kwa kutumia raslimali zutu. TUUNGE MKONO SERA YA CHADEMA kuwa na utwala wa majimbo kanda ya ziwa tusingekuwa na jambo la kulalamikia.

Kumbuka, bandari ya Dar Es Salaam ipo karibu kabisa na katikati ya jiji na pia ipo sehemu ambayo kuongezeka ukubwa ni tatizo na pia njia ya meli kufikia bandari ina kina cha maji ambacho hakikidhi kupitisha meli kubwa za kisasa. Tukitaka tusitake bandari mpya ni lazima ijengwe, Jee, mlitaka ikajemgwe Kilimanjaro?

Kuhusu uwanja wa ndege, hali ni hiyo hiyo, uwanja umeshakuwa mdogo kwa matumizi ya kisasa na upelekwe wapi? Bagamoyo ni KM 63 tu kutoka mjini Dar. Ni perfect choice kufanywa kuwa satellite city ya Dar. au mlitaka uwanja upelekwe Karatu?

mkuu nakujua wewe ni gamba kwenye hii umena vizuri , lakini kuweka hizo RED unakuwa kama sio mtanzania na unavuluga point nzima
bomba kwa hoja mkuu sio VITA , ama la utakuwa kama mtoa hoja

quote_icon.png
By zomba
Hivi Mwanza kwa utajiri mlio nao mikoa hiyo, kinawashinda nini kujenga uwanja wa ndege kupitia bajeti zenu za mkoa? mpaka mngoje Serikali kuu iwafanyie kila kitu? wacheni kuwa legelege, wakati wa kufanyiwa kila kitu na Serikali umepitwa na wakati.

leo una mawazo ya kina safi sana watu hela za halimashauri zinaliwa wanaanzalia kisha wanalia kwa serikali kuu, tufanya mapambano kuanzia nyumbani ( kwenye miji yetu)

Jamaa kule Kijijini kwake na Chalinze kaweka mabomba ya maji hadi porini ambako hakuna watu!!
I think the Guy has turned to be a MBunge not a President!!

Jee, mlitaka ikajemgwe Kilimanjaro?

Ku. au mlitaka uwanja upelekwe Karatu?
Ndugu ZOmba, nakubaliana nawe kuhusu arguments zako, lakini sidhani kama unatenda haki unapoongelea Knjaro(Mbowe) na Karatu (slaa) kana kwamba hao ndo wachangiaji wa kodi za kujengea vitu hivyo.

Unafahamu, mpango wa ujenzi huo hasa wa airport ulikuwa Mkuranga - jiulize imebadilika vipi kupelekwa Bagamoyo? Kumbuka vilevile suala la Bagamoyo na airport vilihusu national security na uwepo wa kambi nyingi za jeshi kulinganisha na eneo lililoko Mkuranga/Suala la bandari binafsi nadhani ni genuine, kwa kuwa linaweza kupunguza msongamano barabarani mbali na kuwa na eneo la kutosha kwa meli kutia nanga.

Hata hivyo tujiulize, meli zitatia nanga kuleta mizigo itakayosafirishwa vipi endapo reli ndo imekufa? Kumbuka vile vile suala la bandari lazima liendane na uwepo wa miundombinu ya reli/ Sina uhakika kama zipo njia za reli kule Bagamoyo

• Thanks
Reactions: FJM
Kwa harakaharaka naona hizi namba shufwa na witiri za Urais (Tanzania) akipatikana mwandishi mzuri wa historia/simulizi tunaweza kujifunza mengi! Hebu tufunge mkanda bandugu safari bado ndefu!

Mkuu Nyerere amejijengea nini Butiama? Hata nyumba ya kuishi alijengewa na Jeshi. Sasa sielewi labda utujuze mkuu. Inaonyesha una taarifa za ndani sana.

Kingine utake usitake. Bagamoyo siyo sawa kujenga Bandari Mpya. Kidogo naweza kukubaliana na uwanja wa ndege ila siyo Bandari.

Angekwenda kujenga kwenye masaburi yenu mngeona ni sawa tu.

Ndugu ZOmba, nakubaliana nawe kuhusu arguments zako, lakini sidhani kama unatenda haki unapoongelea Knjaro(Mbowe) na Karatu (slaa) kana kwamba hao ndo wachangiaji wa kodi za kujengea vitu hivyo. Unafahamu, mpango wa ujenzi huo hasa wa airport ulikuwa Mkuranga - jiulize imebadilika vipi kupelekwa Bagamoyo? Kumbuka vilevile suala la Bagamoyo na airport vilihusu national security na uwepo wa kambi nyingi za jeshi kulinganisha na eneo lililoko Mkuranga/Suala la bandari binafsi nadhani ni genuine, kwa kuwa linaweza kupunguza msongamano barabarani mbali na kuwa na eneo la kutosha kwa meli kutia nanga. Hata hivyo tujiulize,meli zitatia nanga kuleta mizigo itakayosafirishwa vipi endapo reli ndo imekufa?Kumbuka vile vile suala la bandari lazima liendane na uwepo wa miundombinu ya reli/ Sina uhakika kama zipo njia za reli kule Bagamoyo
mkuu si nimesikia kuna barabara itajengwa kutoka bagamoyo kuunganisha na tanga?

Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar ambako kuna Bandari kuu yetu inayolegalega na Julius Nyerere Int Airport.

Wabunge walipiga sana kelele kuwa Reli ya Kati haijatengewa fedha za kutosha na imetelekezwa, ajabu hawakusema kitu kuhusu haya matumizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege na Port mpya Bagamoyo.

Je, twahitaji miradi hiyo Bagamoyo kwa sasa?

Sio vibaya hata kidogo kujenga bandari bagamoyo na uwanya wa ndege

tungejiuliza ni vipi vipaumbele vya hili taifa, kwa muda sasa kumejengeka tabia kila viongozi wanapokuja madarakani wanapeleka miradi mikubwa kwao,,,,
mfano ,
MSUYA,,, alipokuwa madarakani, ilipatikana umeme maji barabara na hata wilaya mpya ya MWANGA,
MRAMBA,,,alipokuwa waziri wa fedha alijenga barabara ya lami kwenda rombo ili hali kuna mikoa na wilaya hazina hata umeme
MAGUFULI,,, wilaya ya CHATO na barabara ya lami
PINDA,,,MKOA mpya WA KATAVI, CHUO KIKUU,
SOON, Bagamoyo,,tutapata, Bandari, Barabara, Uwanja wa ndege, kuna tetesi, WILAYA MPYA YA chalinze, hospital N.K

HAWA WAKOLONI WEUSI WANGEKUWA WANAFIKIRIA TANZANIA
1. Wangepanua bandari ya Dar es salaam na kuboresha utendaji wake, hii ingesaidia Mataifa ya Rwanda, Burundi, Congo, Zambia,kupitisshie mizigo yao hapo
2. AIR TANZANIA-wangelifufua hili shirika kwa kufanya hivyo uwanja wa ndege wa dsm na kia unatosha kwani mashirika madogo yangetumika kupeleka abiria mikoa mingine. pia secta ya utalii ingeimarika kwani ATC ingekwenda moja kwamoja kwa tourist generating countries, chukueni mfano wa SAA, KQ,ET,
3. WANGEJENGA uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, UNGESAIDIA KUFUNGUA KANDA YA ZIWA, biasdhara ya Utalii, samaki,pamba ingeimarika. pia mikoa ya kagera na maeneo ya mkoa wa mara wangeweza kulima kwa biashara MAUA NA MBOGA MBOGA na kupeleka masoko mbali mbali duniani kwa kupitia uwanja wa mwanza
4. BANDARI YA TANGA, Hii ingeweza kuhudumia uganda na South SUDAN hii bandari inaweza unganishwa na ziwa victoria kwa kupitia RELI. HATA mUSEVENI KUNA KIPINDI ALIOMBA SEREKALI YA TANGANYIKA IMPE HII BANDARI
5. BANDARI YA MTWARA, hii ingeweza kufubgua maeneo ya kusini kama ingepanuliwa naamini Malawi wangeitumia kama tungejenga reli na kunganisha hii bandari na ziwa NYASA
6. BANDARI YA ZANZIBAR, INGEWEZA PANULIWA NA KUWA KUBWA NA KUFANYWA FREE PORT naamini waunguja na wapemba wangendelea kula UROJO huku wanakusanya mapato bila tatizo
kama hawa wakoloni WEUSI wasingekuwa wanatumia MASABURI na kuacha ubinafsi naamini kwa kutekeleza hii miradi tungetengeneza mamilioni ya AJIRA, UCHUMI UNGEIMARIKA NA TUSINGEKUWA OMBAOMBA TENA

INAMAANA ´MNAOTAWALA TANZANIA HAMUYAONI HAYO?? SHAME ON YOU ccm

• Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom