Kwa naiaba ya wafanyakazi wote wa New Habari,nataka nitoe ushauri wa bure kwa CEO wetu kujivua gamba haraka iwezekanavyo kama alivyofanya boss wake aka bwana wake RA,kampuni imekushinda,imeshajieleza,sio rahisi kufanya promotion ya aina yoyote katika kampuni na ikafanikiwa bila kujali hali halisi ya wafanyakazi wako,miezi miwili inaisha haujatulipa mishahara yetu au New Habari mnasubiri mpaka wafanyakazi wafe ndo muwalipe pesa zao??achia ngazi kwa manufaa ya kampuni,tumekuchoka,waliosema we sio raia naungana nao mkono maana hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe,hizo ni tabia za kisomali,,,