kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,590
- 183
khaa, kumbe mpo wengi, RA naye yupo humu au ndiye MSKila mtu anapewa tunu yake kutokana na mazingira yake, Muhingo nae alikuwa ana matarajio mengi sana ya kupata vyeo hasa baada ya kutimuliwa kazi Mwananchi kwa kuedit picha ya Salim Ahmed Salim, mwenzie akapewa kuwa mwandishi wa habari wa waziri mkuu, yeye akapigwa bench, akajaribu kuomba u-DC bila mafanikio, na sasa anajituma kweli kwa Shein ili apelekwe ikulu ya Zanzibar.....
Niliwauliza watu wa usalama kwa nini Muhingo hapewi post wakanijibu fanya nae kazi uone uzima wa kichwa chake kwanza. Na kweli tangu nimekuwa nae hapa New Habari amashatangaza kutaka kuacha kazi zaidi ya mara tatu then anarudi tena....... mara anajifanya yeye ni CEO anajifanya yuko karibu na Mengi, Rostam na hata Lowassa.