New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

ubaguzi wa rangi bado unaendelea NHC,watu wa haki za binadamu mko wapi???

RA ni moja ya watu ambao nashngaa mpaka leo hata kuhojiwa na mamlaka juu ya skendo na kashfa zake za udokozi dhidi ya maliza umma, serikali inamuhofu, watawala wanamuhofu, kila mtu anamuogopa, ila mwisho wake upo tu, baguzi mkubwa huyu.
 
Poleni sana wazawa hapo NHC kwani mtaendelea kutafunwa na laana ya Rosemary milele. Mpo mlomuona mkorofi pale alipowabana kwenye wizi wa fedha za Kampuni, hamkujua alikuwa kiwaonea huruma nyinyi wenyewe. Sasa kawaachia Kampuni mnamlilia, mlidhani mkilamba vizuri nyayo za RA, EL na hao wahindi uchwara hapo Kijiweni basi mambo yatajipa, baadhi hamkuthamini mchango wa Dada Rosemary katika maendeleo yenu, mlidhani mnamkomoa, mkamuona mwenye dhiki, hamkujua kuwa huyu ni mtoto wa mwanasiasa maarufu na shujaa, Mwakitwange, ambaye pamoja na wenzake kina Choga walikataa unafiki wakaondoka zao CCM na kuutema ubunge kwa kutetea heshima ya Bunge wakipinga Chama kushika hatamu.

Wenzenu kina Dilunga, Kamwaga, Mwakyembe, Eric na wengine walishatimka, na ukiwauliza kilichowaondoa hawazungumzii mishahara bali heshima zao kwamba waliona wanajidhalilisha kuwatelekeza wananchi, Watanzania wenzao kwa kuendelea kumtumikia fisadi.














Kampuni ya magazeti ya New Habari(2006) Ltd inasemekana kuwa na hali mbaya aka imefulia mpaka kuloweka kiasi cha wafanyakazi wake kuwa katika wakati mgumu,kutokulipwa mishahara yao kwa miezi mitatu, chanzo cha habari kimethibitisha hilo.

Wafanyakazi wake wamekuwa wakilalamika bila mafanikio hali ngumu inayowakabili,huku wengine wakiwa na matumaini kuwa hali inaweza kubadilika,ukweli ni kwamba kumekuwa na matumizi mabovu ya fedha za kampuni zinazotafunwa na raia wachache wakigeni(gabachorizz) pamoja na wapambe wachache wa kiafrika.

Hali ya wafanyakazi imekuwa mbaya kiasi cha wafanyakazi wengine kushindwa kufika kazini,wengine wakihaha kutafuta kazi za nje ili mradi maisha yaende vizuri.

Mmoja wa wafanyakazi aliyefanikiwa kupata kazi sehemu nyingine alisema hali hii katika ile kampuni ni ngumu kuisha na sababu kubwa ni uongozi wa kigeni ulioko pale ambao unajali zaidi na unaendekeza ubaguzi wa rangi kwa kuwaajiri zaidi magabachori na kuwalipa fedha nyingi hao magachori pasipo kufanya kazi yoyote (alitoa mfano wa gabachori anayeitwa JP).

Mfanyakazi mwingine alihoji ni kwanini mmiliki wa kampuni hii (RA) anakuwa kimya pamoja na matatizo yote hayo yanayotokea,,ina maana hajui kinachoendela katika kampuni yake au anakubaliana na hali halisi iliyoko kwenye kampuni yake.

Ukweli hali ni mbaya sana pale NHC,wafanyakazi wake wamekuwa kama wamechanganyikiwa haswa pale uongozi unapokuwa kimya bila kutoa taarifa yoyote kuhusiana na nini kinaendelea katika kulikabili hili tatizo,wenigne wamekuwa wakimkumbuka CEO wao wa zamani Bi R.Mwakitwange nakusema afadhali ya bi Rosemary kuliko huu uongozi wa kigabachori unajumuisha undugu.

Niwaachie uongozi wa NHC 2006 kulishungulikia suala hili maana wafanyakazi wake wameshachoka kiasi cha kutotamani hata kumuona CEO wao akifika kazini na kukaa chini ya miti na kuvuta sigara pasipo kufikiria suluhisho la kuiokoa kampuni,na suala la CEO kupelekwapelekwa kama bendera na waafrika wanaojali matumbo yao kama(B.Mhina).

Mtetea haki za wanyonge aka kifaa.
 
Kama Rose ameachana na Rostam itakuwa ni jambo sahihi kabisa.Kama wewe unajiheshimu huwezi kufanya kazi na Rostam.Look here folks,it's not about money,it's about intergrity.
Bila shaka utakuwa kwenye wakati mgumu sana 2015, kwani inasemekana Lowasa anaweza kugombea urais na akushinda wewe unadhani Rostam atakuwa wapi? Bila shaka atakuwa anafanya kazi na Serikali kwa 100%. Lakini pia usisahau hata akina Geleja wako madarakani kupitia pesa za Rostam
 
Back
Top Bottom