New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

Scania kwa ubora hana mshindani,labda Benzo,Volvo na Man ndio washindani wake huko duniani.Mchina kaiga vitu vingi kutoka nchi za magharibi bado mabus yanayokuja soko letu sio sawa na yale yanayopelekwa nchi za magharibi kutoka china hili hali scania ina ubora wa kueleweka.

Upo sahihi kabisa,mchina bado yupo kwenye utafiti na basi zake ili ziweze kuwa compatible na hali yetu huku Africa
 
Kabla mabasi ya China hayajaja hizo Scania, Isuzu, Volvo, Nissan Diesel na Iveco hazikuwahi kupata ajali?

Zilikuwa zikipata ajali,ila angalia miundo mbinu wakati huo na sasa,angalia teknolojia ya magari wakati huo na sasa….ukija kwa sasa fanya tafiti njia hyo hyo ya dar-mbeya mabasi mangapi aina ya European na mchina yaliyopata ajali,halafu fuatilia mfumo wa kimakenika wa basi za European na basi za mchina unaweza ukapata kitu
 
Mchina sasa hivi ana brands nyingi za mabasi hapa Tanzania kaiacha Scania kwa mbali sana

So obvious ikitokea ajali hata kama mabasi yako 10 hukosi Chinese brands 8 au zote 10 utakuta ni Chinese brands

Kwa hapo hauna hoja ya msingi
 
Back
Top Bottom