Networking , Programing and Database

Iam trying my best nilipo na kila organization niliyowahi kufanya kazi wananikubali mkuu ha ha ha mpaka kesho kutwa. Nilifika nikakuta wana matatizo ambayo hawapati solotuin zake hata kwenye mtandao nikatatua. kwa hiyo kila nitapotua kama kuna tatizo linahitaji software solution najilipyua na nakuja na product amabyo wenyewe hawaamini kama ndiyte niliyefanya. Na sasa hivi nasolve a problem amabyo itakuwa na tija kwa vyuo vingi vya bongo. Innovative thinking niliyokuwa nayo na uwezo mzuri wa kufikiri wangekuwa nao wataalamu wengi wa it tungefika mbali. tupo wachache. Na sasa hivi ndo naingia kwenye enterpreneurship. i see a lot of opprtunities to make big money kwa knowledge niliyonayo
inaelekea una maakili mengi sana.....
 
Nzuri sana mkuu hii....always try to do beyond Expectation....tukiwa na vichwa vya namna hii na wengine tukajitahidi itakuwa pouwa....
 
Iam trying my best nilipo na kila organization niliyowahi kufanya kazi wananikubali mkuu ha ha ha mpaka kesho kutwa. Nilifika nikakuta wana matatizo ambayo hawapati solotuin zake hata kwenye mtandao nikatatua. kwa hiyo kila nitapotua kama kuna tatizo linahitaji software solution najilipyua na nakuja na product amabyo wenyewe hawaamini kama ndiyte niliyefanya. Na sasa hivi nasolve a problem amabyo itakuwa na tija kwa vyuo vingi vya bongo. Innovative thinking niliyokuwa nayo na uwezo mzuri wa kufikiri wangekuwa nao wataalamu wengi wa it tungefika mbali. tupo wachache. Na sasa hivi ndo naingia kwenye enterpreneurship. i see a lot of opprtunities to make big money kwa knowledge niliyonayo

Ndugu yangu (kama wewe sio mdosi), nakutakia mafanikio mema kwenye hiyo private venture. Ukifanikiwa nasi tutafanikiwa as a people. Kumbuka kucontrol your intelectual property, na usisahau kuwa humble.
 
Back
Top Bottom