Networking , Programing and Database

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
52
Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz
 
kwani unataka kufanya nini? Programing and Database kama ni kusoma hivi vitu vina uhusiano na kama unataka kusoma visome usiwaze mshahara, waza kujitengeme mfano ukitengene program iliyosimama utauza au unapenda kuolewa(kuajiriwa).....?
 
Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz

Haya sasa .wewe unafikiri hii ni breaking news? Jifunze kwanza kabla ya kupost
:rolleyes:
 
Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz

Inategemea na akili ulizonazo ukiwa darasani. Si kila mtu anaweza kusoma lolote kati ya hayo, inawezekana usiweze hata moja. Ili ufanye vizuri, ni vyema ukayafanya hayo katika level ya Chuo Kikuu, na si ufanye kwa kuwa unatafuta cha kusoma baada ya kufeli kidato cha nne !! Hayo yote inabidi uwe na background nzuri ya masomo ya sayansi (at least Mathematics na Physics). Ukishasoma na kuelewa vizuri, then ndo utafute kazi especially ya kujiajiri. Lakini jinsi ulivyoandika, ni kama vile unaona kusoma ni rahisi kuliko kupata kazi.
 
kwangu inaweza kua kama BNewz au unasemaje just toa ushauri wako first
then hayo mengine yafuata

Etiquettes is the word. This is not breaking news. Learn to acknowledge your wrongdoings and you shall succeed, especially when in need of advice. Have a good day !
 
Inategemea na akili ulizonazo ukiwa darasani. Si kila mtu anaweza kusoma lolote kati ya hayo, inawezekana usiweze hata moja. Ili ufanye vizuri, ni vyema ukayafanya hayo katika level ya Chuo Kikuu, na si ufanye kwa kuwa unatafuta cha kusoma baada ya kufeli kidato cha nne !! Hayo yote inabidi uwe na background nzuri ya masomo ya sayansi (at least Mathematics na Physics). Ukishasoma na kuelewa vizuri, then ndo utafute kazi especially ya kujiajiri. Lakini jinsi ulivyoandika, ni kama vile unaona kusoma ni rahisi kuliko kupata kazi.

Sio lazima....mkuu.Haya ni mawazo mgando...wangapi wamesoma HKL na leo ni ma IT au programmer wa kufaa tu?
 
Nothing is imposible mkuu....unaweza fanya lolote katika hayo...kwa upande wa maslahi inategemeana na wapi wafanya kazi au umeamua kujiali sehemu gani...kwani programming mpaka uwe eneo watu wako aware na unacho fanya...na wanahitaji huduma yako....kama uko ngudu..unategemea kupata kipato si rahisi.

Otherwise utengeneze program ya kutrack medical record za wagonjwa wa hospitali ya kata.Kama ipo.
Database and programing zinakwenda pamoja....ila kuna attached software ambazo unatakiwa kuwa unazijua ili uweze kwenda pamoja na mbio za dunia...hii.Kwa mfano kuna watu wamejikita kwenye database,programning and geographic information system...wanapata pesa za kukidhi.

Networking and Computer maintanance unaweza kuvifanya vyote kwa pamoja na ukapata maslahi inategemeana ni wapi ulipo...na una ujuzi kiasi gani..na ujanja pia...(akili kumkichwa).

For me naweze sema check uwezo wako wa kuelewa then chagua la kusoma programming ni tight zaidi ya wenzie(So lazima uwe kichwa)...kwenye computer.Inahitaji ufikiri sana wa mbele ya safari.
 
usifikirie mshahara mzuri mimi kuna wakati nilikuwa nalipwa shilingi 500 kwa siku lakini nia yangu haikuwa pesa nilitaka kujua kufanya kazi , kujenga uwanja mkubwa wa kufanya kazi na mipango mingi zaidi mshahara haukuwa nia yangu nilivyojua kazi nikajiondoa huko na kwenda kuanzisha maisha yangu
 
mkuu blame your qualification......huwezi kuniambia mtu ana mavyeti ya kueleweka OCE OCP MCSE MCDA na mengineyo eti ukubali jero kwa siku.....kazi gani unayojifunza kwa jero?
 
kama unamawazo ya kuajiriwa networking inalipa zaidi ila kama unamawazo ya kujiajiri programming and database inalipa!
 
jifunze kuondoa dhana ya kuajiriwa katika ulimwengu huu,unatakiwa kuwa fit ili ufanye projects zako mwenyewe,kama unapenda ajira sana utaishia kuchanganyikiwa mtaani au kupata waajiri wasithamin mchango wako,hvyo kuishia kulaan kwa muda uliopoteza
 
hallow,
maisha ya kuajiriwa ni ujinga na ni upuuzi mtupu,
hata kama utapata kazi ambayo utakuwa unalipwa vizuri(kama unavyofikiri),it is still non sense,
think a lot about kujiajiri...
makampuni yenyewe hapa town yamekamatwa na wahindi na makaburu,do you think even if you do programing well,or whatever networking or anything they will pay you well?
liberate your mind my dear...
better think of been an interprenour..
thanks
 
Hembe tatizo hapa bongo hata ukijiajiri huwezi kupewa hizo project kuna huna watu waku-kupigia krosi
 
hallow,
maisha ya kuajiriwa ni ujinga na ni upuuzi mtupu,
hata kama utapata kazi ambayo utakuwa unalipwa vizuri(kama unavyofikiri),it is still non sense,
think a lot about kujiajiri...
makampuni yenyewe hapa town yamekamatwa na wahindi na makaburu,do you think even if you do programing well,or whatever networking or anything they will pay you well?
liberate your mind my dear...
better think of been an interprenour..
thanks
tujiulize kwanini wahindi wame dominate ICT sector bongo?
 
hallow,
maisha ya kuajiriwa ni ujinga na ni upuuzi mtupu,
hata kama utapata kazi ambayo utakuwa unalipwa vizuri(kama unavyofikiri),it is still non sense,
think a lot about kujiajiri...
makampuni yenyewe hapa town yamekamatwa na wahindi na makaburu,do you think even if you do programing well,or whatever networking or anything they will pay you well?
liberate your mind my dear...
better think of been an interprenour..
thanks

Hapana, not everyone is capable of being an entrepreneur, not only that but not all successful people in IT went ahead and started their own businesses. Your argument is highly faulty kama utasema kuajiriwa ni ujinga na ni upuuzi.
 
hallow,
maisha ya kuajiriwa ni ujinga na ni upuuzi mtupu,
hata kama utapata kazi ambayo utakuwa unalipwa vizuri(kama unavyofikiri),it is still non sense,
think a lot about kujiajiri...
makampuni yenyewe hapa town yamekamatwa na wahindi na makaburu,do you think even if you do programing well,or whatever networking or anything they will pay you well?
liberate your mind my dear...
better think of been an interprenour..
thanks

Kuajiriwa kuna faida zake. Mi nashauri mtu apitie ngazi ya kuajiriwa kabla ya kujiajiri. The aim is for you to know what it is like to be an employee.

Kwanza, uone ubaya wa kuajiriwa; lakini wakati huo huo upate experience ya kazi pamoja na mahusiano kazini. Kuajiriwa kwako kuwe ni kwa lengo la kuijua kazi yako vizuri. Tumia fursa zilizopo, mfano kwenda kusoma zaidi hata kama ni masomo ya jioni au ikiwa lazima ujilipie.

Utakapojiajiri huenda ukaajiri watu, sio? Mambo ya mahusiano kazini, aina ya watu wa kuajiri, challenge zake n.k, yatakwenda kwa uwepesi ikiwa uliwahi kuajiriwa.

Halafu, kujiajiri isiwe ndio mwisho wa game :)
Ngazi zenyewe zaweza kuwa:
  1. Kuajiriwa
  2. Kujiajiri
  3. Kumiliki biashara
  4. Investor

Unatoka kwenye ngazi moja kwenda kwenye nyingine au unakuwa huku na huko, mfano business owner and at the same time part-time employee.

Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz

Ni muhimu kuangalia malipo yatakuaje baadae, ila ni muhimu zaidi kuzingatia na kufuata au kusoma kozi utakayoipenda. Your passion for something will almost always give you the motivation to keep you going even when things get tough; I can say it confidently that that is guaranteed. Inasemwa kwamba watu wengi hufa zaidi siku ya Jumatatu asubuhi kuliko siku zingine za juma (mostly for heart related illnesses). Some of these people are well paid employees who lack passion for what they do at work.
 
Last edited:
Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho ndo kitu cha maana na lazima kabisa lakini mambo ya university hayana ukweli wowote kwenye hii fani.
 
Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz

I think u dont know what is on IT industry. You must first have the basic knowledge of all categories you mentioned, How can you a became a goo programmer while you dont even know how network troubleshooting is done, I encourage you to study all of them so as they will help in your future
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom