kiboko bin mkwaju
Member
- Sep 25, 2012
- 8
- 0
Wadau nisaidieni nipate kujua, nilijiunga na netlog, mda mfupi tu nikapata marafiki kede kede wakike wakiomba tuwasiliane kwa Email walizo nipa kisha wakaanza kudai wao baba zao washa kufa na nchi zao zina vita so wanataka mtu atakaye waoa na wanataka hamishia pesa zao kwenye accont yangu.ni mabilioni ya pesa. hii inakaaje, walio na ufahamu juu ya hili hebu nijuzeni.