Nenda katika matawi haya ya CHADEMA kachukue kadi yako leo hii

Kuhusu ukabila sikweli kwani hata Mbowe angelikuwa mmaasai wangesema ni cha wamaasai coz wanatapatapa.
kwa Moshi ofis ya mkoa iko Majengo karibu na Garage ya Dag,pia waweza ofis ya mbunge iliyoko kwenye iliyoko bomani au ofisi ya nkuu wa wilaya Moshi na wale wa UK mwaweza tuma email zenu then tutawasiliana ili mtume picha zenu ili zikae kwenye ganda.
 
karibu! nenda ofisi ya chama Majengo karibu na Deo camp au chini kidogo ya Lucas constructor, kama unamaanisha niko tayari kukupa namba yangu
 
Makabila mengine tunaruhusiwa kujiunga? Eti kuna mtu alinidanganya kuwa CHADEMA ni taasisi ya wachaga.
Ungetumia nafasi hiyo kueleza mahali pa kupata kadi za chama chenu ingekuwa na tija zaidi badala ya kuleta mambo ya ukabila yasiyo na mvuto wala mashiko hapa jamvini. Ccm mnapaswa kuwa wabunifu ili muweze kushindana na mziki wa cdm. Lakini kama mambo yenyewe ndo hayo tu ya tribalism, basi mjue cdm wameshawapiga bao la kisigino.
 
Back
Top Bottom