Nehemia Mchechu- Bosi Mkuu Shirika la Nyumba Tanzania [NHC]

Congratulations, Mr Kyando!

My thinking, though, he would have been given the monumental task of resurrecting TPB...........
 
.... Nakushukuru sana Nehemiah ulikubali maombi yaliyoletwa mezania kwako na ukakubali kupeleka CV yako!!!!

Pamoja na umri nilio nao, napenda watoto wangu wawe juu siku zote. They can, na wazazi tuwatie moyo na kuwasaidia to climb the ladder!!!


Mmeshaanza, watu wataanza kuvuta undugu, urafiki, ujirani, ukwe, ushemeji kwa kina Luhanga, watu bwana.

Hongera Nehemia
 
Kijana Hongera sana, wewe ni hazina.......panga timu yako sawasawa....sisi tunataka kuona matokeo mazuri.....

Inaelekea wewe ni mchapakazi mzuri kutokana maelezo ya wengi hapa na hivyo soko lako ni kubwa......kwa hiyo cha msingi we fanya kazi.......

Once again hongera sana
 
Hongera sana Nehemia naamini na mm sasa nitapata nyumba za NHC kwa kupanga maana kuzipata watu walikuwa wanarithishana miaka nenda rudi sasa naamini haki itatendeka na mm nitapata mjengo hapo Mungu akubariki sana.
 
Jamani hivi hili shirika bado lipo? Linafanya kazi gani au watz wanafaidikaje? Au ni namna ya kuongeza namna ya kufaidi matunda ya uhuru kwa kuitafuna nchi? Sababu naona nyumba nyingi za serikali zinamilikiwa na wadosi?
 
Poleni sana na Nehemia wenu, ninavyojua hakuna mtu anayeteuliwa kuwa Managing Director wa Nationa Housing bila kuwa na uhusiano na mafisadi.

Kwa muda mrefu wakurugenzi wote wa National Housing walikuwa wanateuliwa kwa kigezo cha kujikomba kwa lowasa, haruna mahesabu alikokotwa toka ardhi university, kila mtu akamsifu mtusi yule, leo wamemficha kule ewura asije gundulika kuwa si mtusi.

Kuna mtu anaitwa Chidiel Mmbaga yeye aliandaliwa hiyo nafasi kwa muda mrefu kwa sasa yeye ni director of real estates, ameoa mtoto wa mwinyi,mzee ruksa, sasa inaonekana kundi la lowasa limezidi kete hili la mwnyi.

For your information, managing director wa NHC corporation angepaswa kuwa mtu aliyesomea either estate management, au real estates, huyu nehemia wenu sana sana angekuwa director of finance. KWA KIFUPI UTEUZI WAKE NI MWENDOLEZO WA UFISADI TENA, POLENI HUU SI WAKAKATI WA KUANGALIA ETI CLASS MATE WANGU KATEULIWA, ANGALIA MCHAKACHO WA KUTEULIWA KWAKE KAMA NI MSAFI.

NI WAKATI WA KUWANYANGANYA HAKI ZA KUTEUA WATEULE WAO, NA NAFASI HIZI ZIJAZWE KWA MANUFAA YA WANANCHI


Hizi ni chuki binafsi, kwa dunia ya sasa hakuna kitu kama hicho, kwa mtizamo wako basi unatuambia na waziri wa elimu anatakiwa awe mwalimu, tuchukulie mfano mbona kuna baadhi ya vyuo mfano OUT vinaongozwa na wahandisi na wanafanya vizuri tu, kazi ya CEO ni kusimamia day to day activities za shirika, kama aliwza kusimamia CBA ambayo ilikuwa haijulikani sasa ni moja ya bank zinazopata faida kwa nini asiweze cha muhimu tumpe muda na ushirikiano, lazima tutaona mabadiliko,
 
Hizi ni habari nzuri saana, Nakupa pongezi saana bro, pia tuwapongeze wale woote waliomuandaa kuanzia wale walimu wa primary, secondary mpaka chuo, na hii iwe changamoto kwa vijana mlio serekalini na sector binafsi.

Kwa muda mrefu Kenya ndio ilikuwa inaongoza kwenye huu ukanda kwa kuwa na ma CEO wadogo, nilishangazwa saana niliposikia CEO wa kampuni ya bia ya kenya EABL alipewa hicho cheo akiwa na miaka 34, vijana wengi saana wa Kikenya ni ma CEO kwenye makambuni mbalimbali kwa ukanda huu wa africa mashariki, kwetu watanzania naatumaini CEO aliyekuwa mdogo alikuwa ni Kilasara G wa SWISS Port kwa muda mrefu, kwa uteuzi nimatumaini ndo mwanzo tutafurahi watakapo teuliwa vijana kuongoza idara na taasisi nyingine nyeti za serekali hsussani zile zinazodeal moja kwa moja na wananchi .

UDSM Shule ya biashara, MZUMBE,SUA,ST AUGUSTINE,UDOM,OUT,nk nawapa changamoto jitahidini kuandaa vijana watakao uzika kwenye hili soko la ushindani, kikubwa zaidi jaribuni kufundisha vijana wawe JOB CREATERS NA SIO JOB SEEKERS

Serekali kama mehamua kumchukua huyu kijana plz msimuharibie future yake kwa
Kum frustrate mpeni ushirikiano,mpeni uhuru kwa mujibu wa majukumu mliompa,mlindeni dhidi ya makundi ya wazee na wafanyakazi wengi walio na vyeo lakini uwezo hawana wanalindwa na magenge ya watu ndani ya hiyo serekali
 
Nafurahi kuona vijana wenzangu wanapata kazi kama hizi! Please Nehemia you have to deliver tumechoshwa na wazee akina Malecela, Kingunge, Makweta, Majiyatanga na wenzao!

Hiki ndo kitu kikubwa sana nimekinote hapa!

Haya shime na tumuunge mkono young blood!

Hongera Chief! Hogera Mercy!
 
This is big, big and brilliant news! Congratulations Nehemia, you have earned us a huge pride. We look forward to seeing a transformed and performing NHC as per the founders' dreams. We wish you the best of luck.
 
Asante kwa usahihi mkuu. Nilijua for sure atakuwa Associate or Ful Prof. Halijaharibika jambo, nae anastahili kuwa Prof sasa!!!

Kaka kutoka MILL yako au? maana miminaamini mtu apewipewi tu u prof kama prof wangu Wenger. Lazima ausotee nasio pipi kama ule udokta wamafisadi na viongozi wetu wakina Kikwete na Karume.
 
Nafurahi kuona vijana wenzangu wanapata kazi kama hizi! Please Nehemia you have to deliver tumechoshwa na wazee akina Malecela, Kingunge, Makweta, Majiyatanga na wenzao!

Kwa nini una mfanisha nahao majambazi wanaSIASA? Jamani mwacheni kumfananisha wanasiasa.
 
..very encouraging news.

..tunamtakia mafanikio ktk kazi na majukumu yake mapya.
 
Simjui jamaa kihivyo wala nini,

Lakini hii inalekea kuwa ni moja kati ya appointments chache zenye harufu ya merit.

It remains to be seen kama jamaa ataweza ku "swim with the sharks while playing 3D chss underwater without being eaten alive". Kama tunabadili viongozi tu hata tukileta mi Mkwawa, Caesar, Napoleon na mi Alexander The Great tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.

Kama huyu jamaa ni competent kama anavyosemwa, let us make him prove it.

FDR aikuwa anakutana na watu Ikulu, wanampa progressive plans za kuendeleza nchi, anawaambia "now go out there and organize the masses, make me do it"
Lets make him do it, let's start right here.

Kuna kero za NHC za kuchunguzwa na kuanikwa? Kuna mijungu isiyotakikana? Kuna uzembe na ufisadi? Kuna mikakati muhimu inayokaliwa?

Let's make him do it. He can't do it on his own.
 
Kama kazi yake itakuwa ni kukusanya kodi ya pango na kuhakikisha majego hayachoki na kuchakaa, atakuwa aanapoteza muda. Lakini akiruhusiwa kuanza kuleta mpango wa Ujenzi wa nyumba na kuziuza wa faida atafanikiwa.

Lakini, kwa nini tuwe na Shirika la Umma kusimamia nyumba huku tuna mfumuko wa bei za ujenzi, nyumba na ardhi usiodhibitiwa?
 
Kama kazi yake itakuwa ni kukusanya kodi ya pango na kuhakikisha majego hayachoki na kuchakaa, atakuwa aanapoteza muda. Lakini akiruhusiwa kuanza kuleta mpango wa Ujenzi wa nyumba na kuziuza wa faida atafanikiwa.

Lakini, kwa nini tuwe na Shirika la Umma kusimamia nyumba huku tuna mfumuko wa bei za ujenzi, nyumba na ardhi usiodhibitiwa?

Hili shirika la nyumba kazi yake nini wakati watu wanaishi kwenye vijumba vya udongo vilivyoezekwa na nyasi? Kazi yake nini hili shirika?
 
Hili shirika la nyumba kazi yake nini wakati watu wanaishi kwenye vijumba vya udongo vilivyoezekwa na nyasi? Kazi yake nini hili shirika?

Nilijua tu kuna dongo litarushwa hapa!

Julius;

Problems tulizonazo ni kuwa haya mashirika ya nyumba yanafanya kazi kama separate entity. walitakiwa wawe wanawahusisha wataalamu kufanya utafiti wa kujenga nyumba za bei rahisi. Nyumba wanazozisema bei rahisi , kwa kweli wenye uwezo wa kuafford ni wachache sana.

May be hii damu mpya itakuja na strategy mpya!
 
Nilijua tu kuna dongo litarushwa hapa!

Julius;

Problems tulizonazo ni kuwa haya mashirika ya nyumba yanafanya kazi kama separate entity. walitakiwa wawe wanawahusisha wataalamu kufanya utafiti wa kujenga nyumba za bei rahisi. Nyumba wanazozisema bei rahisi , kwa kweli wenye uwezo wa kuafford ni wachache sana.

May be hii damu mpya itakuja na strategy mpya!

neah, tatizo ni Dr Slaa na wenzake ndio wamezembea hadi mashirika kama haya yanachemsha. Ukipatikana upinzani wenye nguvu Tanzania basi kila kitu kitakuwa powaaa.

Huu upinzani mlenda wa sasa hivi ... bora tu sisiemu waendelee ... mwisho wa kunukuu.
 
Back
Top Bottom