Nehemia Mchechu- Bosi Mkuu Shirika la Nyumba Tanzania [NHC]

WanaJF habarini za asubuhi/machana/jioni

nimesoma maoni mengi humu ila out of curiosity nina maswali kuhusu huu uteuzi

  • Wajumbe wa Bodi ya NHC kazi yao ni nini?
  • Nehemia Mchechu ana any work/academic experience kwenye mambo ya building/contruction, estate management or construction/planning project management?
 
Who cares? NHC halina faida yeyote kwa nchi zaidi ya kuuza nyumba chafu kwa rushwa, hili shirika life tuu na nyumba zote ziuzwe au warudishiwe wenyewe....maendeleo ya nyumba TZ yanahitaji financiers,developers & builders na miji inayowajibika kupanga miji yake sio upuuzi wa NHC.

Sisi watanzania ndio hatuhitaji hili shirika life, wewe kama imekukera kaa pembeni mambo ya ngoswe mwachie ngoswe wewe kama unataka kuweka financers wako hakuna aliyekuzuia. Unapiga kelele kama una fweza wakati unaganga njaa tu.

..na kukaa kwangu pasadena nafikiri nina mchango mkubwa katika maendeleo nyumbani kuliko wewe unayeishi Tandika na akili yako ya kuku.

Endelea kufikiri na kufoka pumba huna lolote la ziada mindhali unafikiri yoyote anayeandika hapa anakaa Tandika kwa sababu huko ndiko ulikaa na huko ndiko ulikobobea na mawazo mgando pumbapumba za ki- gay. Koba lenyewe limekaa ka koba la kiazi na akili ya kurukaruka kama kunguru.
 
Mkuu Future Tanzania, katika mashirika ya umma Bodi ya wakurugenzi ndiyo wamepewa mamlaka kusimamia management za mashirika katika utendaji wao ili yale ambayo serikali imeyakusudia yaweze kutekelezwa. Mashirika ya umma ni mali ya serikali hivyo bodi ni chombo kinachoteuliwa na serikali kusimamia uendeshaji wa mashirika kwa niaba ya serikali.

Hilo la experience sijui! kuwa MD au CEO unahitaji kuwa mtaalamu wa hiyo sector? sidhani nafikiri unahitaji management skills zaidi na si kuwa mtaalamu uliyebobea kwenye sekta husika.
 
Asante Sana Mkuu,

Je unajua vigenzo gani vyatumika kuchagua hiyo body ya directors? Samahani kwa maswali yangu.. ila najaribu kujumlisha vitu.
 
.

My take: Uteuzi huu unanikumbusha pale mlimani enzi zetu kulikwa na mgawanyiko mkubwa sana kati mainjinia na mangwini. Maengineer walikuwa wanajiona wao ni bora sana ila upande wa Mangwini hasa Bcom wao walikuwa anajiita kuwa ni "Ma-manager" na kuwa Engineers wasome halafu tukija mtaani tutawa-manage: kama naliona lile kundi la Ma-engineer pale NHC ambao Nehemiah atawakuta na baadhi anawafahamu kabisa walipokuwa UDSM

viongozi ni reflection yetu wenyewe? dunia ya sasa kuna wahandisi wengi sana ambao wamesoma, finance, b.com n.k, so let it be because he his capable but not because he studied be.com, B.COM watabakia kuwa inferior kwa wahandisi , mpaka ukamilifu wa dahari.

wakati kikwete anateuliwa kuwa mgombea urais, mlio wengi mlidhani mmepata kijana mwenzenu kama nehemia, kumbe baadaye mkagundua kuwa nehemia kikwete alikuwa backed na bandits like rostam azizi, and lowasa sasa mnajuta, wengi hamjui historia ya nehemia, mnatumia tu uzoefu wa kuambiwa au alama zake za darasani pale udsm, hamjui kuwa kama ni mwadilifu na mpenda nchi yake kama tulivyo wengine na napenda muaminini hivyo asingeweza kufurukuta na kuteuliwa nafasi hiyo.

NHC ndo source kubwa ya pesa za uchaguzi za mwaka huu, vyanzo vingine kama ppf , nssf viko hoi kwa kuwa vinateketeza mabilioni kwa mradi wa udom wa dodoma, hivyo Jk akilamba pale tena hayo mashirika yataanguka kifo che mende, mtu pekee anayeweza kuwasaidia pale NHC wakachota hayo mapesa si mwingine bali huyo nehemia, aliweza kuwasaidia yale mapesa ya EPA yakapita pale CBA baada ya kwingine kushindikana, sasa yuko jikoni atawapakulia ya NHC. for the past ten years NHC hakuna cha maana zaidi ya kwenda kujenga nyumba za kupanga kijijini kwa kikwete pale chalinze, na chato kwa maghufuli!

Nimeomba watu waliokaribu hao wanaoweza ku-clarify hii issue wachakatue hii taarifa, hata kama kuna positive support, still kwa tanzania lolote lipo

Raia mwema walishatoka na data za mchakato wa kumpata CEO wa NHC na jinsi waziri usika alivyoingia kwenye kashfa.Bahati mbaya jina la mlengwa RAIA MWEMA walilitia kapuni. Ebu tujikumbushe kwa kudokoa link hapo chini.
http://www.raiamwema.co.tz/news.php?d=1809

I loved this mchakato issue, japo haikuongelewa kabisa hapo mwanzo! tuko likizo ya muda?

Asante mkuu, ndio maana nilitaka maelezo ya kujiridhisha kutoka kwa Mwikimba na Kapinga.Kumbe hii titile ni kubwa sana na kabla ya hapo ilikuwa na mizengwe mingi.

Kwa hali ilivyo Tanzania lolote laweza kutokea kwa haraka haraka napata maswali haya

1. Je huyu bosi mpya anahusika na fedha za EPA?
2. Je jina lake ndilo lililoingizwa kisiri na Chiligati baada ya ile kampuni kufanya usaili wao
3. Je kuna uhusiano wa position hii na CCM? AU how CCM may benefti from this new guy?
4. Je kuna mtu anajua lolote kama ushauri wa Enerst Young ulifuatwa?

Pamoja na Raia Mwema kugundua hii issue

5. Je kuna uhakika gani kuwa hii position imepatikana kwa merit? maana mamlaka yote anayo Chiligati.

6, Je baada ya Chiligati kukataa mapendekezo ya E&Y je kampuni gani nyingine ilifanya mchakato huu? maana hizi issue zilikuwa za november tu na sasa ni february!

maswali yanaweza kuendelea tena na tena

Haya mahojiano yana question mark nyingi pia

RAIA MWEMA: “Mheshimiwa Waziri, tueleze ni sababu gani zilikushawishi kupuuza mapendekezo ya Ernst & Young kampuni inayoheshimika, na kisha kuteua kampuni nyingine kufanya kazi hiyo iliyokwishafanywa?

CHILIGATI: “Nani kakueleza mambo hayo?

RAIA MWEMA: Tumepata taarifa za uhakika kupitia njia zetu za utendaji kazi wa kawaida.

CHILIGATI: “Sasa nenda kaandike kuwa mchakato wa kumpata mkurugenzi (wa NHC) unaendelea.”

RAIA MWEMA: “Bado swali la msingi linalohusu matumizi ya fedha za wananchi pamoja na mapendekezo ya kampuni ya awali kupuuzwa na kuteuliwa kampuni mpya kwa kazi hiyo hiyo, hujajibu Mheshimiwa Waziri…naomba majibu ili wananchi waelewe kinachoendelea kwenye shirika lao la taifa.”

CHILIGATI: “Nakwambia…sikiliza bwana…watu hawana shida ya kujua hayo yote, wewe nenda kaandike kwamba mchakato unaendelea na hivi karibuni na hasa mwanzoni mwa mwezi Novemba, mkurugenzi mkuu atatangazwa…nitamtangaza mkurugenzi mkuu…sawa?”

This is just questions no offence please

EPA, Kukataliwa mapendekezo ya consultant, kupenyezwa jina la siri,........

I asked those questions kama kuna mtu ajibu, ila aidha watu hawajaona, au hawataki kujibu!

WanaJF habarini za asubuhi/machana/jioni

nimesoma maoni mengi humu ila out of curiosity nina maswali kuhusu huu uteuzi

  • Wajumbe wa Bodi ya NHC kazi yao ni nini?
  • Nehemia Mchechu ana any work/academic experience kwenye mambo ya building/contruction, estate management or construction/planning project management?

He has to be real estate manager, he has to be professional in that sector, this is not minister's positions. japo nazo tunaona kabisa tunahitaji wataalamu husika wa hilo eneo. He still fit on the company bust on the financial issues, au kuwa maaidizi wa director mkuu. I believe Ernst and Young walishauri hivyo.

Tuache politics kwa muda kidogo. maana hapa utapokea sababu nyingi sana.

Mimi simo, nilisharusha hongera yangu, nimeshtuka kidogo kwa sasa.

Unless mtu akija na convincing argument, however, who am I? at least nitajiridhisha nafsi yangu kuwa simo katika hii endorsement wala sina double standard.

Usafi wa jamaa, una aidha walakini, au kwawekwa kwenye hiyo post kwa kazi maalumu.
 
viongozi ni reflection yetu wenyewe? dunia ya sasa kuna wahandisi wengi sana ambao wamesoma, finance, b.com n.k, so let it be because he his capable but not because he studied be.com, B.COM watabakia kuwa inferior kwa wahandisi , mpaka ukamilifu wa dahari.

Nimeomba watu waliokaribu hao wanaoweza ku-clarify hii issue wachakatue hii taarifa, hata kama kuna positive support, still kwa tanzania lolote lipo

I loved this mchakato issue, japo haikuongelewa kabisa hapo mwanzo! tuko likizo ya muda?

I asked those questions kama kuna mtu ajibu, ila aidha watu hawajaona, au hawataki kujibu!

He has to be real estate manager, he has to be professional in that sector, this is not minister's positions. japo nazo tunaona kabisa tunahitaji wataalamu husika wa hilo eneo. He still fit on the company bust on the financial issues, au kuwa maaidizi wa director mkuu. I believe Ernst and Young walishauri hivyo.

Tuache politics kwa muda kidogo. maana hapa utapokea sababu nyingi sana.

Mimi simo, nilisharusha hongera yangu, nimeshtuka kidogo kwa sasa.

Unless mtu akija na convincing argument, however, who am I? at least nitajiridhisha nafsi yangu kuwa simo katika hii endorsement wala sina double standard.

Usafi wa jamaa, una aidha walakini, au kwawekwa kwenye hiyo post kwa kazi maalumu.

Asante Mkuu,

hayo niliyoyahighlight and bold in red.. ni point nzuri sana especial the last bit Usafi wa jamaa, una aidha walakini, au kwawekwa kwenye hiyo post kwa kazi maalumu

Ukisoma vizuri majina ya bord of directors then fatilia kwa makini past zao then utagundua jamaa amepewa hiko cheo kwa sababu moja ya uliyoitaja... yangu macho.. ufisadi uwezi kuisha tanzania.. na matabaka yataendelea kuwepo forever
 
i know that man ni mchapakazi mzuri tusubiri kuvuna matunda, nimefanya naye kazi sana. namjua vizuri
 
Hivi ni kweli kuwa fedha za EPA zilipitishwa CBA ikiwa chini ya Mchechu? kwa sababuhapa tunaweza kulazimika kuwa asterik
 
utata kitu gani? South Africa wanafanyaje? Namibia, Botwasana na kwingineko. Tulia angalia fuatilia halafu zungumza
 
wakati kikwete anateuliwa kuwa mgombea urais, mlio wengi mlidhani mmepata kijana mwenzenu kama nehemia, kumbe baadaye mkagundua kuwa nehemia kikwete alikuwa backed na bandits like rostam azizi, and lowasa sasa mnajuta, wengi hamjui historia ya nehemia, mnatumia tu uzoefu wa kuambiwa au alama zake za darasani pale udsm, hamjui kuwa kama ni mwadilifu na mpenda nchi yake kama tulivyo wengine na napenda muaminini hivyo asingeweza kufurukuta na kuteuliwa nafasi hiyo.

NHC ndo source kubwa ya pesa za uchaguzi za mwaka huu, vyanzo vingine kama ppf , nssf viko hoi kwa kuwa vinateketeza mabilioni kwa mradi wa udom wa dodoma, hivyo Jk akilamba pale tena hayo mashirika yataanguka kifo che mende, mtu pekee anayeweza kuwasaidia pale NHC wakachota hayo mapesa si mwingine bali huyo nehemia, aliweza kuwasaidia yale mapesa ya EPA yakapita pale CBA baada ya kwingine kushindikana, sasa yuko jikoni atawapakulia ya NHC. for the past ten years NHC hakuna cha maana zaidi ya kwenda kujenga nyumba za kupanga kijijini kwa kikwete pale chalinze, na chato kwa maghufuli!

duh wabongo kwa uongo epa zimepita 2005 nehemiah kaanza cba 2006 may lol, mnyonge myongeni haki yake mpeni
 
Hivi ni kweli kuwa fedha za EPA zilipitishwa CBA ikiwa chini ya Mchechu? kwa sababuhapa tunaweza kulazimika kuwa asterik

sio kweli watu wanaongeza chumvi mm, nehemiah alikuwa mbele yangu kimasomo mbeya day na tulikuwa tukiishi nae uyole namjua vizuri na maepa yamepita 2005 wakati tunaelekea kwenye uchaguzi na nehemiah kaanza cba 2006 may lol!
 
kweli kufanya kazi zinatokaiwa sio vyeti kwa kweli kina chenge na masters zao za Heaven sijui havard wameharibu kila kitu,hahaha Again hongera Nehemia kwa kuchapa kazi kwa makini na kuwa creative

Hongera na Pongezi zimemtosha Tumwacheni Atujengee hizo Nyumba. Hongera Nehemia.............
 
Back
Top Bottom