Invisible Robot Feb 11, 2006 9,075 7,878 Feb 3, 2009 #1 Ninayo lakini ni kubwa sana na nimejaribu kila namna kuwaletea hapa nimechemsha. Ni 5GB in size... Kuna jamaa yangu yupo Dar ana nakala ya game hii, mnaweza kunifahamisha nikawaunganisha nae wale mnaopenda kucheza game hii.
Ninayo lakini ni kubwa sana na nimejaribu kila namna kuwaletea hapa nimechemsha. Ni 5GB in size... Kuna jamaa yangu yupo Dar ana nakala ya game hii, mnaweza kunifahamisha nikawaunganisha nae wale mnaopenda kucheza game hii.
Icadon JF-Expert Member Mar 21, 2007 3,581 184 Feb 4, 2009 #2 Hii game ni nzuri? nimecheza NFS Prostreet kwenye 360 I didn't like it that much, ila Fifa 09 kwenye 360 Live graphics zake ni nzuri sana.
Hii game ni nzuri? nimecheza NFS Prostreet kwenye 360 I didn't like it that much, ila Fifa 09 kwenye 360 Live graphics zake ni nzuri sana.
Yona F. Maro R I P Nov 2, 2006 4,202 218 Feb 4, 2009 #3 tunaweza kumpata kiurahisi huyo naweza kuifanya iwe portable itakuwa kama 1 gb hivi ukigawa vipande kila moja kama mb 80 hivi
tunaweza kumpata kiurahisi huyo naweza kuifanya iwe portable itakuwa kama 1 gb hivi ukigawa vipande kila moja kama mb 80 hivi