Elections 2010 NEC yasimamisha Chadema kufanya kampeni Maswa

Any move to remove or bar the move is a movement for change...kama kawaida watabana saaaaaaaaaana, halafu...
 
Lakini madiwani wanaendelea haina shida.Nimeongea na jamaa yangu pia kasema watu walishafanya maamuzi siku nyingi wala msisononeneke.Kule mamabo safi sana CCM hawana chao kabisa ndiyo maana unaona haya yote.Kwa taarifa yenu shibuda anatabia ya kutofanya kampeni mfululizo muda aliofanya kwake unatosha saana.CCM wanhasira kwa sababu wanajua potentiality yake jamaa lazima ataibuka msihofu.
 
Kwani Marandu hawezi kufanya kampeni ya Chama chake badala ya mgombea ubunge, mi nadhani haina haja ya kupoteza muda, angefanya kampeni ya kuwanadi madiwani, huku akimnadi Shibuda not in straigh forward way, hii itaamsha hamasa kwa wapiga kura.
 
Kwani Marandu hawezi kufanya kampeni ya Chama chake badala ya mgombea ubunge, mi nadhani haina haja ya kupoteza muda, angefanya kampeni ya kuwanadi madiwani, huku akimnadi Shibuda not in straigh forward way, hii itaamsha hamasa kwa wapiga kura.

Naomba huu ujumbe uwafikie wahusika.
 
Hayo yote hayatawasaidia, watu wamesha amua kufanya mabadiliko, wanapiga miayo tu. Kila mtu ameshajipanga kuiangusha thithiem labda mjipange kama kibaki na safari hii tumejipanga kujibu mashambulizi.
 
Mbona sielewi, Shibuda kaonekana hana kosa sasa adhabu ya nini? Vigezo gani vimetumika kumsimamisha kupiga kampeni? Ufafanuzi kwa anayeelewa tafadhali
 
nimemwambia marando aka 'juock ping' wamwite rais wetu slaa afanye kampeni nae amesema anaangaia kama nec itamzuia mh Rais slaa
 
nec, ccm na kikwete wana mahusiano makubwa sana

yaani wamelipanga hili
 
wajue kuwa sasa hivi watu walishanya maamuzi wanaangalia majina yao katika vituo

mbona kampeni zilisha isha toka juzi.

sasa hivi tunagaini momentum ili jpili tulipuke vituoni kuondoa utawala dhalimu
 
wanawapandisha hasira wananchi kwa dhuluma zisizo za msingi, na jpili umma utatoa reaction yake kwa dhuluma hizi zote
 
:A S angry::A S angry:Inauma sana kwa kweli!!!

hivi kwanini wamzuie SHIBUDA wakati yule mgombea mwenza(CCM) anakosa tena hadi la kumkata mtama OCD yeye aendelee na kampeni?
Ili iwe fare wazue vyama vyote kufanya kampeni yaani wazuie CCM na CHADEMA. Lakini wajue kuwa FIMBO YA MUNGU HAIKWPEKI - PEOPLE'S POWER NDIO FIMBO YA MUNGU PEKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

TUMEANZA KUONA DALILI MAPEMA ZA CCM KUANZA VURUGU
 

Siasa za Tanzania bwana mpaka saa nyingine zinachosha maana mpaka majaji nao wanafanya mambo kienyejienyeji tu kama liCCM lao!! Huwezi amini majaji wa Iran na Pakstani wako more professional kuliko hawa wa kwetu!!
 
Acha hasira kaka, ni kweli nimeongea na jamaa yangu yupo Maswa ni kweli kuanzia leo amesimamishwa kampeni mpaka siku ya uchaguzi, meaning hakuna kampeni bali watapiga kura tu,...inauma!

Moli ya kimasai ilinipanda kaka. Huu ni uporaji wa haki ya mtu. Kama NEC wanafanya hivi je kutakuwa na haki kweli?????
 
shibuda amtumie kada mwingine wa chadema atumie vyombo vya habari kueleza wananchi kwamba yeye bado ni mgombea wasije wakaacha kwenda kupiga kura wakidhani mgombea wao kaondolewa kisha ccm wakashinda
 
Eeeh Mungu mwenyezi, tusaidie ili huyu mzee Makamba afe haraka ili nchi yetu ibakie na amani mara utakapomchukua maana hathamini kabisa matakwa ya wananchi wenzie kuchagua kiongozi wanayemtaka ila analazimisha wachague mtu aliyewadhulumu na kuwakopa pamba yao. I wish makamba afariki b4 tar 31....
 
nec ninyi ni zaidi ya waasisi wa fujo kwa kufuata matakwa ya ccm,, na wewe mama wa kusimamia uchaguz maswa dam ya hao watakao umizwa maswa utailipa.. kama polisi wamesema hana hatia wewe unamfungamanisha na nini ktk mkubo huo? shibud ataashinda tu na kwa hasira wewe nakwambia laana zote na machoz ya wana maswa yakufuate mpaka kaburini kwako....
 
Back
Top Bottom