Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

eti walienda uganda kujifunza kilimo kwa museveni mtu 200 wakapewa gombe 100 sasa kaulize zipo kwa nani halafu walimuwakilisha nani ,kama mliona hata barabara ya kwenda kwenye shamba la m7 ilkuwa mbovu sana sijui walijufunza nini cha ajabu
 
Nimejiuliza hilo swali mara nyingi bila kupata majibu maana ferry Mombasa zina hali nzuri sana, usafiri ni bure na hata wafanyakazi wa ferry wanafanya kazi zao za kwa umakini mkubwa, sijui hapa bongo tatizo ni nini maana basi hata kama wameamua wananchi kuchangia huduma ingekuwa kidogo sana ili angalau kila mtu aweze kutumia.

acha uwongo wewe kipindi ferry hii inanunuliwa Bungeni Kenya walituma watu kuja kuangalia Tanzania wanafanyaje katika kununua ferry zao maana ukiangalia zile za Likoni ni ndogo na hazikidhi mahitaji

[h=1]Kenya: New Ferries Delay Raises Eyebrows[/h] 8 January 2010


Share:


Nairobi - Coast leaders on Friday asked the government to buy new vessels to replace the dilapidated ones operating in Likoni Channel.
The leaders said the only way to solve the problem facing the more than 180,000 people, who use the channel daily, is to buy new vessels.
Kisauni MP Hassan Joho blamed Transport minister Chirau Ali Mwakwere for failing to solve the problem. Mr Joho said the ministry should come clean and explain the controversy surrounding the delay in procurement of two ferries from Germany.


"We have been promised the new vessels for more than a year now, but we are yet to see them. This shows how the minister of Transport has failed in his docket and he should resign," said Mr Joho.
The MP said the minister, who also uses the channel, should not remain silent on the issue.
"We shall not be shocked to hear of a disaster on the channel any time since thousands of people are riding on a time bomb," Mr Joho said.
Kenya Community Support Centre coordinator Phylis Muema said Mr Mwakwere should explain to Kenyans the whereabouts of the two vessels, which he promised would be delivered by December.
Purchasing of the two new vessels, valued at about Sh1 billion, has been marred by scandals, forcing some staff at Kenya Ferry Services (KFS) to be suspended.
The government gave KFS funds to buy the ferries in the 2003/2004 financial year.
[h=2]Relevant Links[/h]

The KFS managing director was sent on compulsory leave over the procurement after the second German firm was awarded a tender for two ferries measuring 60 metres, yet the board had approved only one measuring 60 metres and another measuring 48 metres.
This meant an additional cost of Sh400 million to the initial Sh900 million that was needed for the company to supply the vessels, hence causing the delay.
There are five old ferries in operation -- mv Mvita, acquired in 1969; mv Pwani, bought in 1974; and mv Nyayo, mv Harambee and mv Kilindini, acquired second-hand in 1990.
According to the Ministry of Transport, the vessels should have been replaced 20 years ago.
KFS is scheduled to address a press conference today to explain the delays in the arrival of the new ferries.

http://allafrica.com/stories/201001080886.html


Halafu angalia baada ya kununuliwa tayari zina matatizo hata mwaka haujaisha



Tatizo letu ni mismanagement katika kukusanya mapato! wawatimue jeshi (suma-JKT) katika kukusanya mapato maana umekuwa mradi wa watu
 
Last edited by a moderator:
Mie niliamini ungetujuza siri ya wao kuvusha watu bure badala yake taarifa yako haijakamilika. Ungetusaidia zaidi au ungeikamilisha taarifa yako kwa kutoa sababu za Kenya kuvusha watu bure. Arguments zako zingewasaidia Wabunge wa Mkoa wa Dar kujustify kauli zao.

Mimi ndugu yangu nilikuwa mvukaji tu nikaambiwa ni bure.Tena wanazo nne mbili zinakuwa upande mmoja mbili upande wa pili zinajaza upesi hamna kupoteza muda.Mimi nilikuwa msafiri wa kawaida sikwenda kama mkurugenzi wa ferry au mtafiti wa mambo ya ferry sina data kwa nini ndio maana nimetupia wengine watujuze mimi sijui nijuachio nilisafiri bure.
 
Mimi nilianza kupanda feri za Likoni na Mtongwe kuanzia mwaka 1964 hadi juzi nilipokuwa huko na sijawahi kulipa nauli. Hii ni huduma ya jamii kama ilivyo kwa daraja isipokuwa hapa vyombo vya usafiri vinapaswa kulipia. Isitoshe, hapo Magogoni upo udanganyifu wa siku nyingi katika ukusanyaji wa mapato. Wafanyakazi wamejenga tabia ya kupata hiyo extra kama ni haki yao. Kuna ugumu gani wa kuwaweka Suma JKT wakaifanya hiyo kazi kwa viwango hivyo hivyo na kuupata upande wa pili wa shilingi bila ya kuunda tume?
Tatizo serikali yetu mara nyingi haikubali ushauri wenye mantiki kutoka kwa yeyote ambaye hayumo ndani ya system. Mwananchi mwenye uchungu na rasilimali ya nchi yake huonekana ni mbumbumbu au mchochezi. Wakati mwingine naona kama natwanga maji ndani ya kinu...hapa nshaloana!
 
Magufuri kakurupuka tu hajui Sheria kazi yake ni kutukana wananchi tu wa Kigamboni Wanaomba Serikali Imchukulie Hatua kali ikiwemo kumvua Gamba... Sasa tuone nani Zaidi Wametengeneza tiketi Bandia wanachumia matumboni mwao pesa nyingi haziingii serikalini Na pia ticket zinauzwa mara kadhaa so pale cha muhimu wadhibiti makusanyo kituo kinaweza kujiendesha na ikiwezekana wabadilishwe wote pale waje waongoza kivuko wapya.

Ni kweli magufuri hajui sheria,nadhani hii ni sababu mojawapo iliyomfanya asiingize nchi hii katika mikataba feki,Akina Lowassa,Chenge N.K wanajua sana sheria,"Kidumu chama cha mapinduzi"
 
Hebu jiulize kivuko kimenunuliwa na fedha ya nani ? Wizara inayosimami hicho kivuko inapata fedha za bajeti yake kutoka vyanzo gani kama sio kodi, na kodi hiyo inatoka kwa nani kama sio mwananchi. Je unataka serikali iendeshe kivuko kibiashara ama kutoa huduma nafuu kwa wananchi ambao ndio walipa kodi ?
Haya ndiyo maneno yanayopasa kujadiliwa na great thinkers.
 
Mie niliamini ungetujuza siri ya wao kuvusha watu bure badala yake taarifa yako haijakamilika. Ungetusaidia zaidi au ungeikamilisha taarifa yako kwa kutoa sababu za Kenya kuvusha watu bure. Arguments zako zingewasaidia Wabunge wa Mkoa wa Dar kujustify kauli zao.

huo ndio uvivu aliokuwanao magufuli!
 
wenyewe mashangingi yao
wanapewa mafuta, matengenezo bure! wanajikopesha kwa bei chee! sisi kutulipia kivuko tu inakuwa nongwa!
 
Wamesema mawaziri wengi wenye kauli za nyodo kama yeye aulize wameishia wapi! Source mlimani tv.
 
ndunguliole ni mnafiki tena haina hii ya viongozi kama ya ndungulile haitufai kabisa kwa tanzania tunayoitaka kama jina lake linavyojieleza huyu bwana nahisi ni mwenyeji wa ifakara au mahenge au kilombero anajua fika serikali yake dharimu inavyotoza kiwango cha sh 200 kwa wale wakulima masikini kivuko cha mto kilombelo kwa miaka sasa sijasikia akiiomba selekari ishushe ifanane na ya hapo kigamboni na nyinyi wanakigamboni acheni unyonyaji wenzenu busisi mwanza tsh 300, pangani 200, kilombelo 200 hata nyinyi wa town 100 miaka kumi? acheni hizo sisi tutoke pembezoni kuja posta kwa buku nyinyi mnataka kufika kwa nyento huo ni unyonyaji BIG UP MAGUFURI WAPIGE MBIZI KUDADADAAADAKI
 
Zungu - bado tunasubiri ni lini utajiuzulu kwa sababu watu wa Jangwani wanahamishwa! Mtemvu kiboko yako Meya wa Dar es Salaam!
 
ni kweli magufuri hajui sheria,nadhani hii ni sababu mojawapo iliyomfanya asiingize nchi hii katika mikataba feki,akina lowassa,chenge n.k wanajua sana sheria,"kidumu chama cha mapinduzi"
uko sawa muno
 
Amemaliza kushughulikia masuala ya Jangwani kwa jinsi alivyowachuza watu?
Na yeye kama vp apige mbizi tu..
 
Hivi 2015 kunani? Maana humu huwezi kukuta thread isiyo na comment ya 2015, mi nimechoka nahuu msemo au wengine wenzetu wana garantee au mkataba na mungu mpaka kila siku wanawaza 2015
 
ndunguliole ni mnafiki tena haina hii ya viongozi kama ya ndungulile haitufai kabisa kwa tanzania tunayoitaka kama jina lake linavyojieleza huyu bwana nahisi ni mwenyeji wa ifakara au mahenge au kilombero anajua fika serikali yake dharimu inavyotoza kiwango cha sh 200 kwa wale wakulima masikini kivuko cha mto kilombelo kwa miaka sasa sijasikia akiiomba selekari ishushe ifanane na ya hapo kigamboni na nyinyi wanakigamboni acheni unyonyaji wenzenu busisi mwanza tsh 300, pangani 200, kilombelo 200 hata nyinyi wa town 100 miaka kumi? acheni hizo sisi tutoke pembezoni kuja posta kwa buku nyinyi mnataka kufika kwa nyento huo ni unyonyaji BIG UP MAGUFURI WAPIGE MBIZI KUDADADAAADAKI
Mkuu Wafahamu kuwa Ni Mbunge wa Kigamboni na Si Morogoro! yeye katumwa na Wananchi wa Kigamboni hajalishi yeye ni Mwenyeji wa Wapi ni Mtanzania tu na anawatumikia wananchi wa Jimbo lake hata sie tusio wakazi kigamboni tunataka tukienda kule tulipe kidogo kwani kivuko ni mali yetu sie walipa kodi.... Kilombero Muachie mbunge wa huko kama hana machungu na wapiga kura wake...
 
Hivi kwanini kila Magufuli alifanya kitu hupingwa? Mbona Mimi sioni Kama kuongeza nauli ni tatizo, sh Mia? Hivi Kivuko kitajiendeshaje? Mbona barabarani tunalipia nauli kubwa? Magufuli you are right, keep it up! Nyakati zimebadilika Na inflation is to high, so nauli lazima iongezeke.
 
Pavin Way For Bush...

Next Move itakuwa ni kuondoa zile Bajaj pale kigambo(excuse itakuwa ni msongamano) ikifuatiwa na kuwaondoa wakaanga chips wote,(Excuse watayotumia ni kuwa ni mazingira si rafiki kwa binadam pataweza lete ugonjwa).
 
Back
Top Bottom