Ndugu zangu nimefiwa na baba yangu

Pole sana mkuu, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu kukabiliana na kifo cha mzazi wako. Apumzike kwa amani!
 
My sympathy is with you for the lost your dear Father. It is more difficult, crushing sometimes, for those who stay behind when someone moves on.

I Am So Sorry For The Loss Of Your Loved One, your Father.
 
Pole sana kwa msiba huo; ndiyo njia yetu sote.

Tumwombee Mwenyezi Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu huyo.
 
Chamkoroma

Pole sana kaka/dada natumaini utapata nguvu za kuweza kusafiri salama na kuweza kumaliza msiba kule nymbani.

Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na tutamwombea kwa sala zetu.
 
Wordless... Najua uchungu wa kuondokewa na mzazi wakati bado unamhitaji. Uwe na moyo mkuu, huo ndio uanaume!
 
Nje ya topic..:samahani:hand:
We @Magulumangu, ile avetari yako tuliyoizowea iko wapi bana?...rudisha ile kiongozi wetu!

Nashukuru, umefanya maskhara mahali si pake, ila umechangamsha. Naufananisha na utani msibani. Much love brother....
 
2ko pamoja nawe mtoto wa marèhému,pia 2natoa pole kwa wafiwa wote....Mola atamjalia amuweke pema hapo atakapofikia
 
Pole sana mkuu. afu nimegundua kuwa kuna hoja zikiletwa mezani hakuna m2 anayepinga. wote wametoa pole kama mm. pole sana mkuu.
 
Pole sana Mkuu na msiba mkubwa uliokufika. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Pole sana, Mungu ailaze roho ya baba yako mahali pema peponi...amen.
 
Back
Top Bottom