Ndugu zangu nimefiwa na baba yangu

Pole sana kaka Chamkey, Mungu akupe faraja huko mbali; kweli ni jambo gumu kufiwa tena na mzazi,m na zaidi sana ukiwa mbali.

Wengine tumepita sana hayo; mimi nilifiwa na kaka zangu wakubwa wawili nikiwa USA na sikuweza kwenda; na tena mmoja alikuwa kama baba na mama yangu; so I understand your pain a bit. With time Mungu atauponya moyo wako; kwani kama ujuavyo, wote tu wasafiri hapa duniani.

Ple sana na RIP baba yetu
 
Ndugu zangu sijui nisemeje nilikuwa najililia mwenyewe toka jana usiku nikifikiri takuwaje ukijua kuwa huku umangani jpili siku yakazi ndipo niandike barua na sisi tuishio kwa kuajiliwa mpaka bosi aseme kwa kujibu barua lkn nashukuru kwani naona kila kitu kinaenda sw naamini kesho j2 nitatafuta ticket tayari kurudi nyumbani.

najisikia huzuni lkn ndiyo maisha sina ujanja wa kupanda magari nakuunganisha, ningependa kumwambia mmoja wa ndugu zangu, mie kwetu Dodoma, wilaya ya Kongwa Kijiji cha Golani lkn yeye amezikwa kijiji cha karibu Iduo.
 
Ndugu zangu sijui nisemeje nilikuwa najililia mwenyewe toka jana usiku nikifikiri takuwaje ukijua kuwa huku umangani jpili siku yakazi ndipo niandike barua na sisi tuishio kwa kuajiliwa mpaka bosi aseme kwa kujibu barua lkn nashukuru kwani naona kila kitu kinaenda sw naamini kesho j2 nitatafuta ticket tayari kurudi nyumbani, najisikia huzuni lkn ndiyo maisha sina ujanja wa kupanda magari nakuunganisha,
ningependa kumwambia mmoja wa ndugu zangu, mie kwetu Dodoma, wilaya ya Kongwa Kijiji cha Golani lkn yeye amezikwa kijiji cha karibu Iduo.
Pole tena mdogo wangu.
Tuna marafiki wengi sana Dom,(hasa mjini) ukifika waweza kuwatafuta mbadilishane mawili matatu!
 
Ndugu yangu naomba nikupe pole kwa lililokukuta! pia naomba ufahamu ya kuwa wewe unapaswa kumshukuru mungu kwa lililotokea kwakuwa tunaaswa tushukuru kwa kila jambo na MUNGU wetu hutenda kila jambo kwa wakati wake.

Mshukuru mungu ya kuwa amemchukuwa mzee wetu wakati wewe unauwezo hata wa kufanya kazi ugenini lakini wengine walichukuliwa wazazi wao wakiwa wachanga!. naomba umuombe mungu akupe ujasili.

Hakuna mtu ambaye anaweza kusema lolote kwakuwa kumpoteza baba ni jambo zito sana!, nakuombea kwa mungu akupe nguvu na ujasili katika kipindi hiki kigumu!. sisi tulimpenda mzee wetu lakini yeye aliyemuumba kampenda zaidi!.
 
Pole sana mkuu inauma sana na ukizingatia sisi tunaotoka vijijini hamna hata Muchuari ndugu yangu akifariki siku hiyo hiyo wanazika, Tumuombe mungu tu ndugu yangu azidi kumuweka mahali pema peponi....
 
RIP Baba

Poleni wafiwa wote, Mungu awape faraja kuu katika Roho Mtakatifu
 
Ndugu zangu sijui nisemeje nilikuwa najililia mwenyewe toka jana usiku nikifikiri takuwaje ukijua kuwa huku umangani jpili siku yakazi ndipo niandike barua na sisi tuishio kwa kuajiliwa mpaka bosi aseme kwa kujibu barua lkn nashukuru kwani naona kila kitu kinaenda sw naamini kesho j2 nitatafuta ticket tayari kurudi nyumbani, najisikia huzuni lkn ndiyo maisha sina ujanja wa kupanda magari nakuunganisha,
ningependa kumwambia mmoja wa ndugu zangu, mie kwetu Dodoma, wilaya ya Kongwa Kijiji cha Golani lkn yeye amezikwa kijiji cha karibu Iduo.

Mkuu kote huko mungu atakupa njia na utafika salama maana ndio mwenye mamlaka na safari yako...mwamini yeye utafanikiwa
 
Nje ya topic..:samahani:hand:
We @Magulumangu, ile avetari yako tuliyoizowea iko wapi bana?...rudisha ile kiongozi wetu!
 
pole sana kiongozi,tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu,MUNGU akutie nguvu
 
Pole sana, tukipata nafasi tutakuja kukupokea.
Ahsante sana broda!
Wewe sasa unaanza kubadili michapo kuwa vitendo.

Wasiliana nae kwa PM akwambie anakuja lini na kwa means gani...then mnaweza kujipanga mkampokea na kumsindikiza home.

Hii ndio maana ya awali ya majukwaa haya!
 
Ndugu yenu nimefiwa na baba yangu jana tar. 18/2/2011 muda wa saa 11 jioni kwa habari toka kwa ndugu zangu,
mimi ndugu yenu nipo nje ya TZ, ni vizuri kukaa mbali lkn yanapotokea mambo kama haya inaumiza sn, natamani ningekuwa nyumbani ningewahi mazishi kwani mazazi wangu amefia kijijini kwetu na nimbali na motuary, inaniuma sn kwani sitakuja uona uso wa baba yangu.
Hapa jamvini ni kwetu sote ni vema kupeana habari hizi.
Mungu awabariki sana.
Chamkey.

Pole sana Chamkoroma. Nakuombea Mungu akutie nguvu na kukufariji katika mapito haya! Naelewa ilivyo ngumu....lakini jipe moyo mkuu!!
 
pole sana mungu ailaze roho ya marehemu baba yako mahali pema peponi,mungu ndio alietoa na yeye ndie aliyetwaa basi kasi yake ihimidiwe.
 
Pole sana mpendwa Mungu akutie nguvu na ujasiri usafiri salama. R.I.P BABA. Neno lasema nitayainua macho yangu nitazame milima msaada wangu utatoka wapi?

Msaada wangu u katika bwana. Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!!
 
Back
Top Bottom