Ndugu yenu nimenasa, hayawi hayawi sasa yamekua

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,855
4,551
Ndugu yenu nimenasa nimenasa hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Mwenzenu nimepata mtoto wa kutoka TANGA nimechelewa kuzijua raha za kidunia maana huyu mtoto.

Ana wivu balaa anapiga simu muda wote

Sipati muda wa kuongea na watu wengine ndo maana nilikuwa kimya hapa jukwaani

Watanga wako romantiki jamani khaaa.

Yeye ni kuchati tu muda wote na simu zinazopigwa hapo sio za nchi hii.

Bado sijapewa mbususu hapo,sijui itakuaje?

Sent from NOKIA YA TORCH
 
Ndugu yenu nimenasa nimenasa hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Mwenzenu nimepata mtoto wa kutoka TANGA nimechelewa kuzijua raha za kidunia maana huyu mtoto
Ana wivu balaaa anapiga simu muda wote

Sipati muda wa kuongea na watu wengine ndo maana nilikuwa kimya hapa jukwaani

Watanga wako romantiki jamani khaaa...!!

Yeye ni kuchati tu muda wote na simu zinazopigwa hapo sio za nchi hii.

Bado sijapewa mbususu hapo,sijui itakuaje?

Sent from NOKIA YA TORCH
Lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom