Ndugu wananchi mna.........

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
kipanya_30_-_03_-_2012_20120330_2086612363.jpg


Hali ngumu ya maisha kasheshe kweli Mkuu...
 
Anataka tufe na tai shingoni , bila kutoa taarifa kwamba tunaumia???????

Aweke mambo sawa kuwe na amani ya kweli na si huu woga unaotugharimu sasa
 
hii nchi yangu Tanzania dah anyway nisije nika kufuru bure
@ummu kulthum Nchi yako imekufa Siku nyingi tu tangu Baba Wa Taifa Hayati mwalimu julius Nyerere kujiuzulu na nchi nayo imekwenda na maji. Hakuna nchi huku kwetu kuna Misitu tu ya Wanyama wa Seringeti wazungu wanakuja huko kufanya Utalii hakuna kitu kingine cha zaidi. Tanzania inajulikana Duniani kwa jaili ya hao Wanyama waliopo Misituni tu, na hao Wanyama wakimalizika na Tanzania haitojulikana kamwe.
 
Back
Top Bottom