Chadema wanasema maisha ni magumu na serikali kupitia Waziri wa Fedha inasema hali ya maisha ni nzuri sana. Wewe Mwananchi unasemaje?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,003
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kimedai hali ya Maisha ni ngumu sana kwa Wananchi kumudu.

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD anasema maisha ni mazuri ndio sababu Magari mapya ni mengi barabarani.

Wewe Mwananchi hapo mtaani unaielezeaje hali ya Maisha kwa sasa?

Jumaa Mubarak 😀
 
Chadema watueleze ni lini maisha yamewahi kuwa rahisi kwanza maana shida ya maisha upipata A unataka B so hakuna siku yatakuwa vile unavyotaka.
 
Maoni yangu ni kwamba! Maisha magumu na maisha mepesi yote yapo Tanzania hapa hapa! Kwahiyo wapinzani na serikali wote wako sahihi
 
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kimedai hali ya Maisha ni ngumu Sana kwa Wananchi kumudu

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD anasema maisha ni mazuri ndio sababu Magari mapya ni mengi barabarani

Wewe Mwananchi hapo mtaani unaielezeaje hali ya Maisha kwa sasa?

Jumaa Mubarak 😀
Juzi kati nilikuwa jimboni kwake iramba huko maeneo ya NDAGO na MTEKENTE ni kweli hata Mimi niliwaona PUNDA Wana namba E kwenye makalio.
 
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kimedai hali ya Maisha ni ngumu Sana kwa Wananchi kumudu

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD anasema maisha ni mazuri ndio sababu Magari mapya ni mengi barabarani

Wewe Mwananchi hapo mtaani unaielezeaje hali ya Maisha kwa sasa?

Jumaa Mubarak 😀
Ninangoja kwanza Lucas Mwashambwa anasemaje ili nimuunge mkono.
 
Sasa fisadi kama Mwigulu atajuaje kuwa maisha magumu wakati amempanda kichwani Mama Kizimkazi na hazina yote amefanya yake binafsi.
 
Back
Top Bottom