Ndugu wana JF nimeamua leo mapema ni-rest in peace mapema

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,855
4,551
Ndugu wana JF nimeamua leo ni-rest in peace mapema, kwanini nimechukua uamuzi huu? Kwa sababu niliamka mapema sana, saa 11 asubui nikaenda mazoezini, halafu baadaye nikajiandaa kwenda kazini, kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi nyingi za kampuni.

Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni, sasa nimerudi nyumbani nikiwa nimechoka sana, hapa nimeoga, nimekula, sasa nimeamua ni rest in peace, nipumzike kwa amani!

Yaani nijipumzishe mapema tu ili kesho pia niamke mapema kuelekea kazini!

#RestInPeace
 
Ndugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?

Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,

Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!!

#RestInPeace
Kwa hiyo umesharest in peace au bado una subiri subiri angalao tukuage
 
shida ya mpumbavu, upumbavu wake huumiza wengine na sio yeye

hao wanao kuombea ufe hawajui ukifa huta elewa lolote, zaidi utaumiza wanao baki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom