Ndugu wana jf hodi

mkulimamwema

Senior Member
Apr 14, 2011
153
18
Mimi naitwa mkulimamwema nimewaleteeni magimbi,matango na mihogo maana mna kasumba ya kutokuja kutusalimia kijijini na nimekuja mnipe hela nikanunue dawa ya wadudu wanaoharibu mazao maana mwaka huu tumelima shamba kubwa na bibi yenu.
 
Karibu kwetu mkulima mwema, uje kwa amani na ukae kwa amani mpaka utakapoamua kurudi kijijini. Ukiwa hapa kwetu uwe makini na uwe mwerevu sana maana hapa kwetu kuna furaha na karaha, na dada na kaka wajomba na wapwa zako unawajua vizuri tabia zao!. Na muda wa kurudi kijijini ukifika usijali kama umepata mbegu bora, mbolea ya kisasa au dawa ya magugu au la hujapata. Rudi tu kijijini kaendelee na staili yako ya kawaida ya kilimo. Naomba tu usiwe mkulima mla mbegu.

Karibu sana.
 
karibu sana, hapa jamvini:
Welcome Note: Hapa huwa tunagongeana thanx, like n.k kama unavyoziona, ukipenda point usisite kusupply hivyo vitu. Kikubwa zaidi tunaavoid sana mambo ya udini,ukabila,ushoga na mengineyo...mengine utayajua tu siku za usoni.
Ukipenda sana kuomba hela utakuwa na elements za kifisadi,akina RACHEL watakununua ukawa huna maana,coz utakuwa huna utu bali kuwatumikia makafiri...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom