Ndoto za kuuawa!

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Habari za asubuhi wadau,
usiku wa leo nimeota ndoto za kutisha kweli. kwanza nimeota kuwa boss wangu anataka kuniua kwa risasa. ilikuwa hivi "nilikwenda msalani mara boss nae akaja kwenye choo cha kike,wakati bado nashangaa mara akatoa bastola kutaka kunishoot. nilipata upenyo wa kukimbia mpaka ofisi ya jirani ikawa pona yangu" nilistuka usingizini nikapuuza na kusali nikaendelea kulala. je ni nini maana yake?
 
nilipolala tena nikaota nipo nyumbani kwetu kijijini, mara kaka yangu mkubwa wakishirikiana na mama wanataka kuniua. nilipata upenyo na kukimbia kama kilomita 2. kwa bahati mbaya kaka alichukua gari na kunifatilia kisha akanipata. ile ananifikia tu nikastuka usingizini. wadau je kuna ukweli wowote katika ndoto hizi? msaada tafadhali kwani nimesikitika sana.
 
Fanya maombi tu, kemea roho ya mauti na kuonewa. Usiwachukie hao uliowaona ndotoni. Kazi ya adui ni kuvuruga, anaweza kutumia any faces ili uwe frustrated zaidi.
 
Sina uhakika sana,ila inasemekana kuwa Ukishiba sana usiku ni lazima uote ndoto za kujaribu kuuawa.
 
hii ndoto inaonesha kuwa muda si mrefu utapanda cheo sasa sali sana kumuomba mungu afanikishe hilo...
 
nilipolala tena nikaota nipo nyumbani kwetu kijijini, mara kaka yangu mkubwa wakishirikiana na mama wanataka kuniua. nilipata upenyo na kukimbia kama kilomita 2. kwa bahati mbaya kaka alichukua gari na kunifatilia kisha akanipata. ile ananifikia tu nikastuka usingizini. wadau je kuna ukweli wowote katika ndoto hizi? msaada tafadhali kwani nimesikitika sana.

hii inaonesha dhahiri shahiri kuwa utapata mume siku si nyingi hii ni kama ujaolewa na kama umeolewa basi mtapata mtoto hivi karibu dhidisha sana maombi..
 
Fanya maombi tu, kemea roho ya mauti na kuonewa. Usiwachukie hao uliowaona ndotoni. Kazi ya adui ni kuvuruga, anaweza kutumia any faces ili uwe frustrated zaidi.

Upo deep mamito....
Mleta thread fuata ushauri huu...
 
Sina uhakika sana,ila inasemekana kuwa Ukishiba sana usiku ni lazima uote ndoto za kujaribu kuuawa.

wanaosema hivyo ni wale wenye uelewa mdogo wa ndoto wapuuzie ndugu yangu...ndoto zina maana haijalishi content yake...
 
Inategemea, kwa mfano mimi, kila ndoto ninayoota ni lazima itimie. Hebu jaribu kukumbuka kama ndoto unazoota zimeshawahi kutimia. Otherwise utakuwa uliangalia movie ya kikatili ndipo ndoto za namna hiyo zikakuingia.
 
yup sometime huwa tunaota kulingana na tuliyoyashuhudia au kuyawaza kabla ya kulala....human brain ni complex machine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom