Ndoto iliyo nipotezea mpenzi

mkuu umeharibu sana
nimeamini KISICHO RIZIKI HAKILIKI

au ni ile red-label?

aaaaah hii kitu ya Acid bana ngoja nimwachie mwenyewe imenipotezea mchumba hivi hivi, vitu vya kizungu hivi.
 
Inawezekana Mungu kakuepusha na kitu,,na kwanini uonje??

nitafanya follow up ya kiapo

Kabla ya kiapo si kulikuwa na break kidogo???

Sasa nikapiga vitu wanavyo piga akina Teamo ndo vimenipeperushia ndege wangu hivi hivi nalia mie.
 
aaaaah hii kitu ya Acid bana ngoja nimwachie mwenyewe imenipotezea mchumba hivi hivi, vitu vya kizungu hivi.
pole sana aisee!

mi nilishajiandaa nikajua mwaka huu TUNAFINYA CHA PILAU....!na hivi dokta ana CRESTA ya kumbeba bwana haruc
 
Hahaha kumbe ile kitu haitakiwi uanze na mzigo wa chini a.k.a beere mm ndo nilipiga hizo nikaja kusuuza na hiyo kitu nikaambulia kuota dah, ila Dr. jana nilikuwa nae pale kwa Jeni korogwe
 
aisee kwa jeni kumekucha eeh?!
kuna jamaa yangu amefiwa na kakaake mitaa ya bonyokwa...so,may be nitaenda kula mdudu pale
 
kwa hiyo ukaota demu avue chupi wakati ulishamvua tayari au ulitaja jina.
huyo achana nae kama anaishi kwa maamuzi ya ndoto!
 
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana

Bila shaka itakuwa ilikuwa pale maeneo ya TIP TOP karibia na AM HOTEL.
 
Hahaha kumbe ile kitu haitakiwi uanze na mzigo wa chini a.k.a beere mm ndo nilipiga hizo nikaja kusuuza na hiyo kitu nikaambulia kuota dah, ila Dr. jana nilikuwa nae pale kwa Jeni korogwe

Mpwa walikuchanganyia na :smokin: kwenye kilaji nini?
 
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana

Pole Mkuu, hv ulikuwa unamuonea aibu ukaamua kujidunga ganzi kwanza??
 
kwa hiyo ukaota demu avue chupi wakati ulishamvua tayari au ulitaja jina.
huyo achana nae kama anaishi kwa maamuzi ya ndoto!

Dah kinacho niuma zaidi nimemfukuzia 3yrs juzi hapa ndo kanipa nimeota wkt nilifanya du ze nidiful

Bila shaka itakuwa ilikuwa pale maeneo ya TIP TOP karibia na AM HOTEL.

Mpwa hii ilikuwa mkoa huko si unajua pombe za huko na winter zinavyo shuka kama nyie mlivyo kuwa A town
 
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana
Home boy mbona kama kuna "kiarifu" kimejificha!
 
Hommie kiarifu gani tena kimejificha ndani kwa ndani? nimesha mkosa tayari sasa hivi nafanya juu chini kumelejesha katia himaya
 
Hahha hahha pole sna best ungeendelea kulala na ungeota tena una mnanihiii:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Hommie kiarifu gani tena kimejificha ndani kwa ndani? nimesha mkosa tayari sasa hivi nafanya juu chini kumelejesha katia himaya
naona kila nikisoma cpati connection...kwa hiyo amekasirika wewe kuota au?
 
Lala nae tena unaweza ota ndoto ya kumfurahisha this time,alikuwa anakutafutia tu sababu uache uking'ang'anizi wako uliodumu kwa miaka mitatu................LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom