Ndoto iliyo nipotezea mpenzi

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana
 
Hivi sasa nataka nimlete kwa wapwa ili wampe somo ndoto nini, yeye anajua mm ni mhuni
 
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana

Hivi kuna mwingine tena?aghriiii:sad:
 
Duh!! Una uvumilivu wa hali ya juu mkuu,miaka 3 unafuatilia tu??!!
Hongera kwa uvumilivu na pole sana kwa hiyo ndoto!!!
 
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana
hehehe!
now i know ulienda iringa kufanya nini
 
Ahsante kinacho niuma huyu kiumbe nimefukuzia 3yrs kanionjesha Mungu akanipiga kofi.

Kiapo kimeanza kwa unyenyekevu.

Inawezekana Mungu kakuepusha na kitu,,na kwanini uonje??

nitafanya follow up ya kiapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom