Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
348
462
Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla.

Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama wanaangika kupewa mafao yao.

Ushauri wangu:
  1. Mkataba wa kuijunga na mifuko ya hifadhi iwe wazi kati ya mwanachama na mfuko husika.
  2. Kila upande ubanwe na sheria pale ambapo utashindwa kutekeleza yaliyopo kwenye mkataba.
 
Back
Top Bottom