Naomba kujuzwa faida za kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii kwa hiari

aad

Member
May 15, 2019
66
63
Ningependa kujuzwa ni faida zipi anazoweza kuzipata mtu pale atakapo jiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii kwa hiari.

Na je kuna hasara zozote zinazoweza kutokea kwa mtu ambaye hajajiunga na mifuko hiyo?
 
Kiundani kabisa sijui. Ila nawaza tu zile asilimia 15 za mwajiri na zile zako 5 wanazokuhifadhia kila mwezi, utaongea nao wakujumlishie kwenye salary?
 
  • Thanks
Reactions: aad
Back
Top Bottom