Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
Kongosho, tunatenda dhambi si ndio?
Mara nyingi hatupendi kutenda tunayotenda lkn tunajikuta tunatenda!
Mfano, unaplan kujiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa; kuna nafsi moja inakuambia usifanye; nyingine inakiambia it is okay coz every body does it!
Hapo kuna roho 2 zinazokushauri, moja ni Holy nyingine ni unclean. Kama hauko na imani sana utaifuata hiyo unclean coz inatoa a lot of facts na mifano hai kibao kuverify huo ushauri wake. Kumbuka Yesu alivyokuwa anajaribiwa alipofunga 40 days!
Haya hujaona kuna watu ambao hata wenyewe wanajishangaa kwanini wanajikuta katika dimbwi fulani, wengine huishia kujiita wana mikosi n.k say mtu hana anachotafuta lkn haishi kumcheat mwenzie, au ni mwizi muite kleptomaniac au nini, it is just not normal!

Last edited by a moderator: