Ndoa sio tatizo tatizo ni yale ma roho uliotembea nayo kitandani kabla ya kuoa ndio yaanatumaliza at

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Pengine unaweza kuogopa kuoa ama kuolewa ukahisi kila ndoa ni tatizo
wala leo nakuja kukutia moyo ati sio kila ndoa ni tatizo swala ni jinsi gani ya kujilinda
kuavoid yanayotokea

kuna mengi yanatokea kwenye maisha bila kujua chanzo ni nini???
Kama unatarajia kuwa na mwenzio jitahdi sana kumshirikisha mungu sana sana ,usitarajie nduguzo watakusaidia kwenye shida zako ........,hasa za ndoa...
Yanayotokea kwenye ndoa za wengi ni mambo ya kuwa na ufahamu....pengine unaweza hisi mwnzio ndio ana matatizo kumbe sio yeye bali ni wale aliotembea nao...
Labda niwakumbushe unapokuwa na mwanamke ama mwanaume mkavuliana nguo kitandani ...mnapoingiliana kimwili ukisoma baibo mnakuwa mnabadilishana ma spirit..sasa basi najua yawezekana we ulimpenda kutoka moyoni kumbe mwenzio bila ngono kwake awezi kulala kwa siku hiyo ukawa na bahati ya kumpa ulale unono..kuna roho nyingi sana

1.uzinzi
2.roho za kuachika
3.roho za kutamaniana
4.roho za kutoka mimba
5.roho za kufanywa ndondocha na mwenzio
6.roho nyingi nyingi chafu

hizi zote unaweza kuwa nazo ukiwa umelala na mtu na kufanya nae mapenzi...so unapoondoka unajua umemwacha kumbe maroho yameingia..kivipi..pengine mwanamke kwao wao ni uzinzi ngono kwa kwenda mbele unazaa kiumbe kazuri nacho unaishia kuweka ukuta mkubwa ukihisi soln..kumbe akienda shule anamaliza shuguli huko huko..wewe ujui kwa nini kumbe ulishawahi kulala na hadija ama mwanahamisi ambae alikuwa na pepo la kuzini

pengine unaweza kuwa umefanya mapenzi ya ujanani na shida ama shika popote yeye kwao kuanzia bibi yake ameachika mama yake ameachika kaka yake wa kwanza nae kaachika mtot wa mjomba kaachika na wewe umemvulia nguo unashangaa unaoa mtoto tena wa kilokole akikaa na wewe mwezi anaruka ukuta yamemshinda ...so muwe makini

tujitahidi kusali na kuyakemea maroho yooote nilitamani ungekuwa unakumbuka mpaka na rangi za nguo za ndani za mwenzio uliwahi kutembea nae unaziandika kabisa kwenye karatasi unazichoma moto na kumwbia Mungu kama ninavyochoma hizi karatasi basi na roho zote chafu nilizowahi kuzipitia zikaungue moto ...hii ni kwa msaada wa watoto wetu jamani haya mambo yanarithi

Mungu awabariki ijumaa njema
 
Mmh, mapya nayo haya. Mi navojua tabia ya mtoto hutokana na malezi alokulia, ingawa ni kweli bila kumtumainia Mungu na Yesu mwanae hakuna lolote, ni m.av.i tu!
 
ukiishi kwa kumtegemea Yesu hakuna maroho wala mapepo yatakayokuingia,
binadamu siku hizi badala ya kuwa na hofu ya Mungu wana hofu ya 'maroho' ambayo kwa Yesu yote yalivunjwa, yamevunjwa, na yanaendelea kuvunjwa....
 
THIS IS A VALID STATEMENT.MPAKA MTU AJE KUOA..NI MAROHO MANGAPI AMEBEBA,TENA KWA WATU TOFAUTI TOFAUTI,WA TABIA TOFAUTI TOFAUTI..NDIO MAANA KWENYE NDOA,AU UCHUMBA WATU WANAKUWA HAWAELEWANI,KILA SIKU MAKWAZO,WHY?EITHER BETWEEN YOU COUPLES,KUNA MMOJA WENU AMEBEBA MAROHO YA WANAWAKE WENGINE,SO AKIJA NAYO KWA GIRLFRIEND WAKE OR BOYFRIEND WAKE,NI V URUGU TU.THE SAME APPLIED TO GALS.TAFAKARI,CHUKUA HATUA.TULIA NA MMOJA.:flypig::flypig::flypig:
 
Mkuu derrick
umemaliza kabisa mwenyesikio na asikie
 
Pdidy umesema vizuri sana pia BADILI TABIA umenena jambo la busara sana ya kwamba watu siku hizi tunahofu na shetani kuliko kuwa na hofu ya Mungu.

Jamani maneno yanena waziwazi, kwamba kila dhambi aitendayo mwanadamu huitenda nje ya mwili wake bali zinaa hutendwa ndani ya mwili. haikuishia hapo Mungu aliagiza tuikimbie sana zinaa, na hata akadiriki kuita miili yetu ni hekalu la roho mtakatifu, hivyo yeye afanyaye uzinzi yu achafua hekalu la roho mtakatifu. Kama ukilichafua hekalu hili ni wazi kwamba roho wa Mungu ataondoka na hapo ndipo marho mengine yanapoingia.

Roho wabaya wanapomuingia mtu, huingia wakiwa na asili ama makusudi mengi sana kama mtoa mada alivyoeleza nyingine ambazo twaweza pia kuzipata kwenye uzinifu kwa kuongezea ni roho za mauti katika umri mdogo, roho za magonjwa, roho za umaskini, roho za kutofanikiwa, na roho zakukataliwa.

Iwapo wewe hukua unayajua haya basi ni busara sasa uanze kuchukua hatua kwa kuikimbia zinaa na kutubu kwa Mungu ili uishi maisha ya usafi siku zote.

Mungu akubariki sana kwa hatua utakayoichukua sasa ya kumkaataa shetani na mambo yake yote.
 
Last edited by a moderator:
Gdsonwin
umemaliza kabisa mungu wa mbinguni akubariki kwa hili naamini alieona ataenda kuyafanyia kazi narudia kama kaka gf alivyosema swaala ni kukimbia dhambi jamani ikimbie usiikaribie kabisa muondokane na mateso ya watoto wenu hapo baadae
 
Thanks, nafikiri ni vizuri kuvunja chain za hiyo mispirit kabla ya kuanza mahusiano mapya; na kumkaribisha Holy Spirit ndani yenu ili hayo mahusiano yapate blessing from God!

Thanks wote waliochangia, Kongosho sijui yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
kabisa kaunga
nahisi kunena kwa alugha Mungu akutie nguvu
 
Hili jambo ni la kweli kabisa na mimi baada ya kujua iliachana na boy mwaka 2010 na tangu hapo sikutaka tena kuendelea na uzinzi na nimekuwa nikomba na kuvunja kila siku naamini nimesamehewa,ila dunia bwana,marafiki wananisakama eti naishije lazima nidate,kumbe kila kitu ni nafsi yako tu unavyotune.
 
though am a believer, but haya maroho doesn't get in my big head.

Mie hapa ntasema kuomba kunakushurutisha kuacha yasiyokubalika katika jamii inayokuzunguka uzinzi ikiwemo.

Sioni maroho yanaingiaje hapa, kweli sioni kabisa.

Thanks, nafikiri ni vizuri kuvunja chain za hiyo mispirit kabla ya kuanza mahusiano mapya; na kumkaribisha Holy Spirit ndani yenu ili hayo mahusiano yapate blessing from God!

Thanks wote waliochangia, Kongosho sijui yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwalimu si mpaka akasome bali the way anaposhusha maelezo ya kina u have no comment keep it up
 
Aprakata tumbaa tumbaaa tumbaaa!!

Na mimi nimenena kwa lugha hapo!

Acheni kujipa stresa kwa nadharia za ajabu ajabu!
Yani mtongozane mkapeane dudu halafu mara dudu inageuka kuwa liroho lichafu!!!

Kwani unapomuomba Mungu akusamehe dhambi huwa anakusamehe lakini anakuacha na hayo maroho??
 
Back
Top Bottom