Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 49
Salaam, ni ushauri mzuri Lizzy, however;
Katika uhalisia, nakubaliana na tuko katika mantiki ya ubinafsi usioadhiri set husika. Ubinafsi wa kuwa na wanawake au wanaume nje ya ndoa huo ni ubinafsi wa hali ya juu kabisa. ubinafsi wa kutaka kufanya maamuzi yanayo-affect set nzima bila subset nyingine kuhusika, hapo ni makosa makubwa.
Kuna mambo madogo sana ambayo si muhimu kwenye ndoa lakini yanalazimishwa kuingia kwenye set......kunyang'anya uhuru kwa degree zote wa mwenza wako.....
Haiwezi kutokea, just because mumeamua kuoana, basi muwe 100% compatible, Haiwezekani......sasa hapa ndo linakuja swala la COMPROMISE.....unataka sasa hivi, mimi sitaki sasa hivi.......tungojeane, au tutuvumiliane.
kila mtu lazima ana mambo bvinafsi amabayo angependa kufanya bila kuingiliwa, lakini hayaharibu SET (yale ya msingi katika ndoa)Kinachotakiwa ni mwenza kuyafahamu, asipoyafahamu utakuwa unakuwa mbinafsi, however, kama hujajua mambo binafsi ya mwenza wako katika kipindi cha microphone test one tw one two....basi hilo nalo ni tatizo.
Swala la simu naomba nisilisemee, coz ni janga la kitaifa sawa na kuwasikiliza mashoga/mashostito au wambea wa mtaani na kuamini kila neno.
Hapo kwenye red,Hayo ni miongoni mwa mambo yanayosababisha katika ndoa kuwe kuna usiri mkubwa kiasi cha ku-conclude kwamba these two people are in two differnt missions.