Ndoa niliyosimamia inanishinda: naomba msaada wa wana JF

nimezipitia na nimempigia thenksi mkuu gefu kwa kumaliza mambo kimili nafikiri hapo ndipo matatizo yanapokuwa yameisha. asante
thenksi NOTED!
waswahili UZUNGU UMETUTAWALA SANA!mila zetu ziliangalia mambo mengi sana
 
kipindi cha nyuma kidogo kabla wazungu hawajaja na dini zao za kihuni,hilo tatizo linatatuliwa KIMILA!tena vizuri sana.:
mke anapaswa kumpigia magoti mume na kumsihi AONGEZE MKE!...problem solved!

Homeboy....uchumi mgumu ndugu yangu......! utauza viazi mpaka ukome! na hawa wenzetu wapo kicommercial zaidi ujue......!
 
Homeboy....uchumi mgumu ndugu yangu......! utauza viazi mpaka ukome! na hawa wenzetu wapo kicommercial zaidi ujue......!
ni kweli homeboy.sasa kule lupembe kesi kama hii unadhani wangeisolve vipi?:D
 
ni kweli homeboy.sasa kule lupembe kesi kama hii unadhani wangeisolve vipi?:D

Aaaarg kule simple sana....katia ekari 10 za chai huyo mama, then nakamati kitu ingine.....sasa Kitololo yupo town so ukileta unoko life nakushikisha adabu!

BWT: Kitololo kapata justification fulani kwako....tayari atakuwa anamiliki ''Kipeto'' huyo.....ha!ha!aaa
 
ha ha ha!
lol.unajua homeboy hawa watu kuishi nao inataka UJASIRI WA HALI YA JUU!:D
 
nimezipitia na nimempigia thenksi mkuu gefu kwa kumaliza mambo kimili nafikiri hapo ndipo matatizo yanapokuwa yameisha. asante

kumbe ulikuwa unatafuta jambo la kujustify ur actions..umepata mkuu! ila hilo si solution..unakumbuka tukisoma fasihi kuna swali tulikuwa tunaulizwa: Kukimbia shida si kutatua shida, fafanua!
 
Aaaarg kule simple sana....katia ekari 10 za chai huyo mama, then nakamati kitu ingine.....sasa Kitololo yupo town so ukileta unoko life nakushikisha adabu!

BWT: Kitololo kapata justification fulani kwako....tayari atakuwa anamiliki ''Kipeto'' huyo.....ha!ha!aaa

na wewe nimekugona senkyu maana uko kama mtabiri flani hivi si unajua mamabo ya mila na utabiri vinaenda sambamba?
 
kumbe ulikuwa unatafuta jambo la kujustify ur actions..umepata mkuu! ila hilo si solution..unakumbuka tukisoma fasihi kuna swali tulikuwa tunaulizwa: Kukimbia shida si kutatua shida, fafanua!

nimekugongea senksi lakini tukishindwa kuelewa na kuhusu fasihi nauondoa. ukiaply mno mambo ya fasihi mwenye mapenzi mapenzi yatakushinda
 
Nilisimamia ndoa ambayo imedumu kwa miaka 15 kwa sasa. Ni ndoa njema na sikivu. Tatizo kubwa ambalo nimekuwa nikilipata kama msimamizi wa ndoa ile ni kutoridhishana katika tendo la ndoa. Mke huwa yuko down sana kimapenzi, na si kwamba ana bwana nje, bali ni kwamba huwa akiwa katika tendo la ndoa akishamaliza round moja basi anapoa kabisa na hataki tena kabisa kuendelea. Na hapa itamchukua muda mrefu (wiki na kuendelea) ndipo awe tena na hashiki/tamaa ya tendo la ndoa. Kitendo hiki kinamuumiza sana mume na kunakuwa na kutoelewana kwa jambo hilo. Nimesuluhisha, na mke anasikitika sana kwa hali yake hiyo. Wamepata ushauri lakini kila akijaribu bado tatizo liko pale pale.

Nimeona hapa jamvini tunashirikishana matatizo na kupata ushauri. Nakaribisha ushauri mwema na wenye nidhamu ili kumsaidia hawa ndugu waweze kuishi maisha mema, ya upendo kwa ndoa yao na pia kuweza kuwasaidia wengine hapa au ndugu na marafiki zetu ambao wana tatizo hili. Asanteni.

...tendo la ndoa ni 'mazungumzo' baina ya miili ya wawili wapendanao. Ukosefu wa msisimko kati ya mmoja ya wapendanao hao ni dalili tosha 'ujumbe' haumfikii ipasavyo. Inatakiwa mtoa ujumbe awe mbunifu na kubadili mfumo wa upelekaji 'taarifa'...
 
Karibu mbu, we missed this kind of advice from you, the legend!
 
Kuna matatizo mengine ya maumbile ya mwili ni kama ulemavu wa kudumu ambao pengine sio rahisi kuurekebisha au kuubadili. Je wanandoa hao walioana kabla hawajafanya tendo la ndoa???. Kama walishafanya na tatizo hilo lilikuwepo na jamaa akakubali kuoana basi avumilie tu maana hakuna jinsi. Kwa kuwa ni wachamungu wakumbuke kwamba alichokiunganisha mungu binadamu hawezi kukitenganisha.
 
Mi pia naomba kujua mazingira pia na mume awe mchokozi kama anamuona na amegundua mke wake ana weakness hiyo ajaribu kuwa mchokozi ili ku stimulate hormones za mke wake ili ajisikie hamu ya kufanya tendo la ndoa lakini akimuacha tu inaweza ikawa ngumu,mchokozi nadhani unaelewa maana anaweza akawa yeye ni tatizo kutokana na maumbile ya wanaume yalivyo bila kujua mwanamke anahitaji kidogo uvumilivu. Halafu wajiachie maana mkiliona kama tendo la ndoa ni assignment fulani inakuwa ngumu kweli tena watoto ni wakubwa waambie wawe huru,wanaweza kwenda mahali like a hotel for a weekend waone mazingira mapya style mpya wajadili, yaaani kwa kifupi ni wao wawili wanaweza ku solve tatizo hili kujiachia kwa sana tu.
 
...tendo la ndoa ni 'mazungumzo' baina ya miili ya wawili wapendanao. Ukosefu wa msisimko kati ya mmoja ya wapendanao hao ni dalili tosha 'ujumbe' haumfikii ipasavyo. Inatakiwa mtoa ujumbe awe mbunifu na kubadili mfumo wa upelekaji 'taarifa'...
bonge la advice Kaka....ila sasa ujamalizia hayo mazungumzo yanakujaje na kama hayapo ushawishi wa aina gani unatakiwa au ubunifu wa aina gani unatakiwa. Mkuu unaweza kuanzisha hata thread ya hili suala kwa uelewa zaidi na kuokoa ndoa za wengi, hakika utapata thawabu sana tu
 
...ikumbukwe kila mtu anapendezwa na 'mazungumzo' ya namna fulani, mfano; hapa jukwaani kuna watu hawatii mguu thread za siasa, na kuna wengine thread za dini kwao ni kwa moto.

Ndani ya tendo la ndoa ni hivyo hivyo. Enzi zile za wazee wetu, mabinti wengi waliolewa ilhali hawajui kabisa tendo la ndoa na 'mazungumzo' yake. Mwanaume pekee aliomjua ni mumewe, na hata 'mazungumzo' yakawa kamilifu.

Miaka hii ya Dot.Com onja onja zinapelekea "Miluzi mingi hata mbwa anachanganyikiwa"... Ili kukabiliana na janga hilo, mume au mke anatakiwa afanye kazi ya ziada kuzidisha vionjo ili kutuliza 'mbwa' wake...

sijui nimeeleweka? Lol!
Nitarudi...
 
...tendo la ndoa ni 'mazungumzo' baina ya miili ya wawili wapendanao. Ukosefu wa msisimko kati ya mmoja ya wapendanao hao ni dalili tosha 'ujumbe' haumfikii ipasavyo. Inatakiwa mtoa ujumbe awe mbunifu na kubadili mfumo wa upelekaji 'taarifa'...
hivi tendo la ndoa na ngono vinatofautiana vipi?
 
...ikumbukwe kila mtu anapendezwa na 'mazungumzo' ya namna fulani, mfano; hapa jukwaani kuna watu hawatii mguu thread za siasa, na kuna wengine thread za dini kwao ni kwa moto.

Ndani ya tendo la ndoa ni hivyo hivyo. Enzi zile za wazee wetu, mabinti wengi waliolewa ilhali hawajui kabisa tendo la ndoa na 'mazungumzo' yake. Mwanaume pekee aliomjua ni mumewe, na hata 'mazungumzo' yakawa kamilifu.

Miaka hii ya Dot.Com onja onja zinapelekea "Miluzi mingi hata mbwa anachanganyikiwa"... Ili kukabiliana na janga hilo, mume au mke anatakiwa afanye kazi ya ziada kuzidisha vionjo ili kutuliza 'mbwa' wake...

sijui nimeeleweka? Lol!
Nitarudi...
Mkuu nimeanza kukupata hasa hapo ulipoanza kufanya comparative analysis ya mahuasiano na mapenzi enzi za zamani na kizazi hiki cha leo.

Lakini itabidi urudi tena Mkuu kama ulivyoahidi for more elaboration
 
hivi tendo la ndoa na ngono vinatofautiana vipi?
Geoff hapa ukipata Wachungaji na Masheikh ndio watakupa tofauti katika mrengo wa kiimani ila ukitaka sisi vijana tukujibu tutakwambia tu kuwa hakuna tofauti yoyote ila ni kiswahili kimekuwa na kupanuka
 
It happens, lazima tukumbuke kuwa kuna watu wamezaliwa na low sexuality! kuna watu sex siyo important au kwa sababu za makuzi na hofu waliyojengewa kuhusu sex wakati wa ukuaji wao. I sill think ni psychological problem. lakini kwa upande mwingine jamaa naye inabidi atafute namna ya kucope na mkewe ili waendane. Kma ameweza kumanage for 15 years ambayo ndiyo ilikuwa active years sexualy, hatashindwa kwa sasa. Baba ajitahidi kumwelewa mkewe na kuikubali hali hiyo kama wamejeribu option nyinginezo.
Nawashauri wachukue vacation ya three days away to a cool place, wakae na ku-rediscover each other, yaani katika three days hizo wafanye foreplay tu bila sex hadi siku ya mwisho kabisa ndo wamalizie na sex. Naweza kuelezea the whole process but in pm if necessary ili kuwasaaidia ndani ya hizo three days, it might help.

Asante sana mkuu. Nitakuwasiliana na wewe via PM nipate zaid. Nimepitia ushauri wa members hapa na ni wa busara. Nitajitahidi kumjibu kila mmoja na pia kuweka bayana nilichogundua for the past three days na huyu jamaa (where necessary).

Back
Top Bottom