Ndoa na Msiba ni jukumu la muhusika, tusiwasumbue wasiohusika. Tuwaige waserbia ktk hili

My Honest Book

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
1,356
2,100
Katika kuperuzi na kudadisi maisha ya jamii za watu kutoka mataifa mbalimbali nimekutana na hili kutoka Serbia..

Wanasema wananchi wa Serbia wako na utaratibu mmoja mzuri sana wa maisha ambayo wamekuwa wakirithi from generation to generation

Kwanza;
Kuhusu kuoa inabidi liwe jukumu lako kwasababu wewe ndo unaeoa na kwenda kuishi na mke ama mme wako, Tanzania hapa kwenye hizi ndoa watu huwa wanataka kutoana roho kwasababu ya michango ili kuleta ufahali kwenye hizo shughuli,

Ila wenzetu hawanaga haraka ya kuoa mpaka watakapokuwa tayari kiuchumi kumudu gharama zote bila kumchangisha mtu..

Pili;
Kuhusu shughuli nzima ya msiba na kujiandaa na kifo chako, Nchini Serbia mwananchi huwa anahakikisha ana account kibubu kwa ajili ya kusimamia maziko yake ikiwemo kujua eneo lake atakalozikwa na kuandaa jeneza mapema ili siku atakapoumaliza mwendo asiache usumbufu kwa waliobaki..

InShort: Epuka usumbufu usio wa lazima,ukiona bila michango shughuli ya ndoa yako haiwezi fanyika basi ujue hauko tayari na maisha ya ndoa
 
Katika kuperuz na kudadisi maisha ya jamii za watu kutoka mataifa mbalimbali nimekutana na hili kutoka Serbia..

Wanasema wananchi wa Serbia wako na utaratibu mmoja mzur sana wa maisha ambayo wamekua wakirithi from generation to generation

Kwanza;
Kuhusu kuoa inabid liwe jukumu lako kwasababu wewe ndo unaeoa na kwenda kuish na mke ama mme wako, Tanzania apa kwny hizi ndoa watu huwa wanataka kutoana roho kwasababu ya michango ili kuleta ufahali kwny izo shughuli,
Ila wenzetu hawanaga haraka ya kuoa mpk watakapokua tayar kiuchumi kumudu gharama zote bila kumchangisha mtu..

Pili;
Kuhusu shughuli nzima ya msiba na kujiandaa na kifo chako,Nchini Serbia mwananchi huwa anahakikisha ana account kibubu kwa ajili ya kusimamia maziko yake ikiwemo kujua eneo lake atakalozikwa na kuandaa jeneza mapema ili siku atakapoumaliza mwendo asiache usumbufu kwa waliobaki..

InShort:Epuka usumbufu usio wa lazma,ukiona bila michango shughuli ya ndoa yako haiwez fanyika bas ujue hauko tayar na maisha ya ndoa
Serious sana, Na kwa issue ya msiba kama Marehem hakua na uwezo na kaacha familia isio na uwezo wa kumudu gharams kubwa za msiba basi msiba ufanyike wa kishikaji tu nimeshuhudia familia nyingi sana zikibaki na hali mbaya zaidi ya kiuchumi baada ya msiba.
Kwamba tukio la Ndoa au Msiba linavikwa ufahali mkubwa kuliko uhalisia wa Wahusika.
 
Hua mnachanga harusi?
Inategemea na financial status ya wahusika.Kama wanaharusi wanajiweza kiuchumi huwa wanasimamia gharama zote za shughuli ya harusi.

Na Kama wanaharusi hawapo Vizuri kipesa huwa wanafanya michango kutoka kanisani, marafiki na wanafamilia was pande zote mbili.

The same applies to funerals.
 
Katika kuperuz na kudadisi maisha ya jamii za watu kutoka mataifa mbalimbali nimekutana na hili kutoka Serbia..

Wanasema wananchi wa Serbia wako na utaratibu mmoja mzur sana wa maisha ambayo wamekua wakirithi from generation to generation

Kwanza;
Kuhusu kuoa inabid liwe jukumu lako kwasababu wewe ndo unaeoa na kwenda kuish na mke ama mme wako, Tanzania apa kwny hizi ndoa watu huwa wanataka kutoana roho kwasababu ya michango ili kuleta ufahali kwny izo shughuli,
Ila wenzetu hawanaga haraka ya kuoa mpk watakapokua tayar kiuchumi kumudu gharama zote bila kumchangisha mtu..

Pili;
Kuhusu shughuli nzima ya msiba na kujiandaa na kifo chako,Nchini Serbia mwananchi huwa anahakikisha ana account kibubu kwa ajili ya kusimamia maziko yake ikiwemo kujua eneo lake atakalozikwa na kuandaa jeneza mapema ili siku atakapoumaliza mwendo asiache usumbufu kwa waliobaki..

InShort:Epuka usumbufu usio wa lazma,ukiona bila michango shughuli ya ndoa yako haiwez fanyika bas ujue hauko tayar na maisha ya ndoa
umewasoma maisha ya waserbia unataka tz nzima tuige.. wiki ijayo ukiwasoma wa australia utakuja kutuambia tena tuachane na waserbia tuwafuate hao wengine

sisi kazi yetu iwe ni kuigilizia tamaduni za wengine, leo huku kesho kule.

Alafu lazima mjue kuna maisha/tamadumi nyingine za wazungu wao wenyewe zinawaumiza na wanatamani kuziacha sema ndio hawawezi.. nyie mnataka kuwaiga
 
Katika kuperuz na kudadisi maisha ya jamii za watu kutoka mataifa mbalimbali nimekutana na hili kutoka Serbia..

Wanasema wananchi wa Serbia wako na utaratibu mmoja mzur sana wa maisha ambayo wamekua wakirithi from generation to generation

Kwanza;
Kuhusu kuoa inabid liwe jukumu lako kwasababu wewe ndo unaeoa na kwenda kuish na mke ama mme wako, Tanzania apa kwny hizi ndoa watu huwa wanataka kutoana roho kwasababu ya michango ili kuleta ufahali kwny izo shughuli,
Ila wenzetu hawanaga haraka ya kuoa mpk watakapokua tayar kiuchumi kumudu gharama zote bila kumchangisha mtu..

Pili;
Kuhusu shughuli nzima ya msiba na kujiandaa na kifo chako,Nchini Serbia mwananchi huwa anahakikisha ana account kibubu kwa ajili ya kusimamia maziko yake ikiwemo kujua eneo lake atakalozikwa na kuandaa jeneza mapema ili siku atakapoumaliza mwendo asiache usumbufu kwa waliobaki..

InShort:Epuka usumbufu usio wa lazma,ukiona bila michango shughuli ya ndoa yako haiwez fanyika bas ujue hauko tayar na maisha ya ndoa
Na hii inflation wanizike city tu
 
Ukileta hii hoja kwenye msiba wa ndgu yako utaonekana una tamaa ya mali wakati kiuhalisia kama mpendwa wenu akiondoka na kama ndo alikua kichwa ni vizuri kujipanga vyema kuliko kugharamia maziko halafu mnabaki makapuko.

Manabaki kusema aiseee ila jamaa alizikwa bwana.
 
Katika kuperuz na kudadisi maisha ya jamii za watu kutoka mataifa mbalimbali nimekutana na hili kutoka Serbia..

Wanasema wananchi wa Serbia wako na utaratibu mmoja mzur sana wa maisha ambayo wamekua wakirithi from generation to generation

Kwanza;
Kuhusu kuoa inabid liwe jukumu lako kwasababu wewe ndo unaeoa na kwenda kuish na mke ama mme wako, Tanzania apa kwny hizi ndoa watu huwa wanataka kutoana roho kwasababu ya michango ili kuleta ufahali kwny izo shughuli,
Ila wenzetu hawanaga haraka ya kuoa mpk watakapokua tayar kiuchumi kumudu gharama zote bila kumchangisha mtu..

Pili;
Kuhusu shughuli nzima ya msiba na kujiandaa na kifo chako,Nchini Serbia mwananchi huwa anahakikisha ana account kibubu kwa ajili ya kusimamia maziko yake ikiwemo kujua eneo lake atakalozikwa na kuandaa jeneza mapema ili siku atakapoumaliza mwendo asiache usumbufu kwa waliobaki..

InShort:Epuka usumbufu usio wa lazma,ukiona bila michango shughuli ya ndoa yako haiwez fanyika bas ujue hauko tayar na maisha ya ndoa
Kila taifa na jamii yake kuna imani,taratibu na utamaduni wake tofauti na wengine hivyo sio sawa kutaka watu wafuate hizo imani,taratibu na tamaduni za watu wa Serbia.
 
Kwenye ndoa uko sahihi ila kwenye misiba au matatizo Watanzania kusaidiana ni muhimu sana,cha msingi we iga uko Serbia mwisho wa siku ndugu zako watacheza Ngoma ya sikinde
 
Back
Top Bottom