My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,356
- 2,100
Katika kuperuzi na kudadisi maisha ya jamii za watu kutoka mataifa mbalimbali nimekutana na hili kutoka Serbia..
Wanasema wananchi wa Serbia wako na utaratibu mmoja mzuri sana wa maisha ambayo wamekuwa wakirithi from generation to generation
Kwanza;
Kuhusu kuoa inabidi liwe jukumu lako kwasababu wewe ndo unaeoa na kwenda kuishi na mke ama mme wako, Tanzania hapa kwenye hizi ndoa watu huwa wanataka kutoana roho kwasababu ya michango ili kuleta ufahali kwenye hizo shughuli,
Ila wenzetu hawanaga haraka ya kuoa mpaka watakapokuwa tayari kiuchumi kumudu gharama zote bila kumchangisha mtu..
Pili;
Kuhusu shughuli nzima ya msiba na kujiandaa na kifo chako, Nchini Serbia mwananchi huwa anahakikisha ana account kibubu kwa ajili ya kusimamia maziko yake ikiwemo kujua eneo lake atakalozikwa na kuandaa jeneza mapema ili siku atakapoumaliza mwendo asiache usumbufu kwa waliobaki..
InShort: Epuka usumbufu usio wa lazima,ukiona bila michango shughuli ya ndoa yako haiwezi fanyika basi ujue hauko tayari na maisha ya ndoa