Ndoa ipo kukulinda na Magonjwa, usimsamehe msaliti

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Habari zenu wakuu.

Lengo moja kuu la kuoa/kuolewa ni kukulinda wewe mwanandoa na Magonjwa kwenye maisha yako.

Unapokuwa kwenye ndoa kula kavu ni suala la kawaida na ni jambo la msingi katika kuzaliana.

Maisha ya ndoa ni kuaminiana ndio maana watu walio kwenye ndoa huwa hawapimi mara kwa mara kwasababu wanaaminiana.

Ikitokea ukagundua Mume/Mke anakusaliti basi usisite kumuacha maana anaweza kuhatarisha usalama wa afya yako.

Kama unataka amani ya moyo na usalama wa afya yako basi usisite KUMUACHA MSALITI

NB: WAHUNI HAWAFAI KUISHI NAO KWENYE NDOA.
 
Wewe unashauri mtu aache ndoa yake af awe mchepuko wa mwanaume mgine (mme wa mtu), kuna akili kweli??? Kipi bora kuvumilia au kua nyumba ndogo ya mme wa mtu?
 
Huna Dini ndio maana unaona ulichokiongea ni sahihi.

HONGERA MKUU.
Mkuu Dini ninayo ila najitahidi kua realisitic katika maisha yetu ya sasa.....mwanamke ukiacha ndoa kuja kupata ndoa nyingine mpaka utaliwa na wanaumme mchanganyiko zaidi ya 10.........usichauri wanawake kuacha ndoa zao kwasbb eti mmewe ali lala nje siku mbili tu, ila majukumu mengine anawajibika viziru.
 
Ubinafsi ni kitu kibaya sana Mkuu.

Wewe utakubali binti yako aishi na msaliti kwa kigezo cha kupata huduma?
 
Kwa nini wasiolewe??ndo sio u model ni commitment hata wenye watoto 7 wakifa waume zao waanaolewa
Inaumiza sana kuona Mwanamke anachukuliwa kama Kitu na sio mtu.

Wanawake inabidi wajitambue na wachakarike ili kuepusha kuchukuliwa kama Kitu na sio binadamu.

USHAURI WANGU: Kama una Mume msaliti wewe ondoka tu kwenye hayo mahusiano maana hata muumba alishakataza uzinzi nje ya ndoa.
 
Ubinafsi ni kitu kibaya sana Mkuu.

Wewe utakubali binti yako aishi na msaliti kwa kigezo cha kupata huduma?
Mkuu kama kweli wanaishi kwa ndoa halali nyumba ya kwao anampa mahitaji muhimu siwezi kushauri ache ndoa kwasbb 90% ya wanaumme hiyo tabia wanao, atampata wapi asie chepuka kwa wanaumme hao wa kitanzania tulio jaa uongo na utapeli, usimuaribie maisha kwa kumuachisha ndoa labda kama mwanaumme nifukra na ajeenda shule.
 
Kama kulivyo na Nabii wa kweli miongoni wa manabii wa uongo, kuna wanaume wasiocheat kati ya wanaume wote .

Usigeneralise tabia ya mtu mmoja kama tabia ya jamii nzima. Hata wanawake wasiocheat wapo sana .
 
Back
Top Bottom