Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Sio kuwa namsimanga ila kifupi nilikuwa najaribu kueleza ni jinsi gani namthamini na namjali ili kusiwe na mkakanganyiko kana kwamba hana kazi au namnyanyasa. Ni upendo niliokuwa nao kwake lakini naona inafikia hatua sasa kama najiumiza, I can't feel proud of her any more! yaani dah ! kifupi sioni faida ya ndoa hadi dk hii.
Haha kweli wewe ni mgeni katika maisha ya ndoa na experience ya kuishi na wajawazito. Huyo mama anakupenda sana. Kipindi hiki ni kibaya sana mdau, kwanza tumbo limeshuka, mtoto anacheza tumboni michezo yote, tumbo linabana kama ngoma ya kiangazi, moods zisitokee? Ebu mvumilie 8 months ni kidogo sana atajifungua soon. Ila wewe unavyoongea ni kama una maamuzi yako fulani ya kuchoka, kumwacha.
Huyo shetanii anayekuongoza mwambie ameshindwa na kama una insist kufanya hivyo we fanya na siyo kwa sababu mkeo kakulazimisha.