Achana na Mwanachuo!

Mkuna mgongo

Member
Dec 9, 2019
79
122
Hamjambo wanajamii,

Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu.

Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji.

Alipoanza mchakato wa chuo kwakweli nilishiriki kumsaidia kufanya maombi na ushauri pia bila kusahau vihela vya bando na stationery. Kwa vile nilipitia chuo na nna kadigrii basi akawa ananiamini na kufuata kile nnachomshauri na nilikuwa najua nini anatakiwa kufanya.

Majibu yakatoka amechaguliwa chuo kilichopo DSM na sisi hapo tuko mikoa ya kaskazini, alifurahia sana japo me sikuwa na furaha nikihofia kumpoteza. Aliniahidi kuwa hatobadilika hata akifika huko. Maandalizi yakafanyika, nakumbuka siku moja kabla ya kuondoka kwenda Dar tulilala pamoja usiku mzima unaju ile kuagana. Alionesha kusikitika kuwa atanimiss sana dah!

Alipofika Dar es Salaam kwa siku za mwanzo aliendelea kuntafuta na tukitumia muda mwingi sana kuongea au kuchati, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda akawa hapatikani sana akidai anabanwa na kazi za chuo.

Nikamwambia basi tuweke ratiba ya kuwasiliana yaani kama asubuhi kabla hujaingia class au mchana ukiwa mapumziko na jioni/usiku anitafute akitulia. Akafata hizo ratiba siku mbili then akapotea na kazi ikawa ile ile, mara amepitiwa na usingizi, mara kazi zilikuwa nyingi ameshndwa kujibu meseji wala kupokea.

Matukio hayo yote yalitokea ndani ya mwezi mmoja tuu, nikaona isiwe shida basi Mimi niende huko labda nikiwa nae kwa siku hata mbili anaweza kurudi kwenye imaya yangu.

Nikamweleza mpango wangu wa kwenda kuonana nae, akasema sawa atafurahi kukutana tena na mi mpenzi wake. Nikaulizia ratiba zake kama zitaruhusu kutumia muda wa kutosha na Mimi akajibu "hamn shida na siwez kosa muda".

Me nikajipanga mzee kwa kiasi cha pesa nnachojua kitantosha kwa siku nitakzokuwa huko. Kwa kuwa nafanya kazi na sikutaka kuomba ruhusa kazini ikanibidi niondoke ijumaa baada ya saa za kazi ili jmosi na jpili niwe na mtoto. Basi jioni saa kumi nikatafuta usafiri kwa bahati nikapata Noha lakini ilitoka saa 12 jioni.

Tulisafiri usiku mzima lakini yeye nikamwambia nitatoka kesho yake ambayo ni jmosi, sikutaka ajue kuwa nasafiri usiku na hakika hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri mbali kufuata mapenzi. Kwa hilo nijiona shujaa kwa vile niliona naonesha mapenzi ya dhati na kupapalia penzi pia.

Nilifka Dar saa 11 alfajiri nikiwa nimechoka hoi na usingizi kama wote, hivyo nakawaza sehemu ya kupumzka kwanza. Nikafanikiwa kupata sehemu ya kupumzka (lodge), nilaoga alafu nikalala lakini wakati huo nishamcheki yule binti kuwa nimepata gari ndogo (private) hivyo nitawahi kufika Dar. Akajibu " sawa me nitakuwa nakusubiri wewe ukifika nijulishe".

Ilipofika mida ya saa sita nikamwambia nimekaribia kufika na kufikia saa 8 nitakuwa mjini. Akasema "haina shida utanambia ulipofikia nije". Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.

Ilipofika ili mida nikamwambia nilipo, akasema anakuja maana alishatoka kwenye kipindi. Basi kweli alipokaribia nikamfuata na kuongozana nae hadi pale lodge. Basi ile kufika ndani nikashangaa kuona yuko busy na simu wakati alikuwa ananambia anashindwa kuongea na mimi sababu anabanwa na majukumu ya chuo. Nikajaribu kumwambia aachane na simu na aone uwepo wangu lakini bado kila dakika meseji zinaingia tuu, kama sio kawada basi za Watsapp.

Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo😥😥, roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali.

Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni.

Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.

Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa 🤢🤢🤢. Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.

Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani🤣🤣. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.

Niliondoka saa kumi kwenda Mbezi kutafuta gari za kaskazini, nikafanikiwa kupata gari nikaanza tena safari ya usiku kurudi home. Njia nzima nilikuwa nasikiliza wimbo wa " Beka Fleva- poa poa" hadi leo nikiusikia huo wimbo nakumbuka tukio hilo.

Wanachuo mungu awaongoze kwa matendo yao!
 
Hamjambo wanajamii..!
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu,
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho ndani ya uwezo wangu. Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji.

Alipoanza mchakato wa chuo kwakweli nilishiriki kumsaidia kufanya maombi na ushauri pia bila kusahau vihela vya bando na stationery. Kwa vile nilipitia chuo na nna kadigrii basi akawa ananiamini na kufuata kile nnachomshauri na nilikuwa najua nini anatakiwa kufanya.

Majibu yakatoka amechaguliwa chuo kilichopo DSM na sisi hapo tuko mikoa ya kaskazini, alifurahia sana japo me sikuwa na furaha nikihofia kumpoteza. Aliniahidi kuwa hatobadilika hata akifika huko. Maandalizi yakafanyika, nakumbuka siku moja kabla ya kuondoka kwenda Dar tulilala pamoja usiku mzima unaju ile kuagana. Alionesha kusikitika kuwa atanimiss sana dah!

Alipofika Dar es salaam kwa siku za mwanzo aliendelea kuntafuta na tukitumia muda mwingi sana kuongea au kuchati, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda akawa hapatikani sana akidai anabanwa na kazi za chuo. Nikamwambia basi tuweke ratiba ya kuwasiliana yaani kama asubuhi kabla hujaingia class au mchana ukiwa mapumziko na jioni/usiku anitafute akitulia. Akafata hizo ratiba siku mbili then akapotea na kazi ikawa ile ile, mara amepitiwa na usingizi, mara kazi zilikuwa nyingi ameshndwa kujibu meseji wala kupokea.

Matukio hayo yote yalitokea ndani ya mwezi mmoja tuu, nikaona isiwe shida basi Mimi niende huko labda nikiwa nae kwa siku hata mbili anaweza kurudi kwenye imaya yangu. Nikamweleza mpango wangu wa kwenda kuonana nae, akasema sawa atafurahi kukutana tena na mi mpenzi wake. Nikaulizia ratiba zake kama zitaruhusu kutumia muda wa kutosha na Mimi akajibu "hamn shida na siwez kosa muda".

Me nikajipanga mzee kwa kiasi cha pesa nnachojua kitantosha kwa siku nitakzokuwa huko. Kwa kuwa nafanya kazi na sikutaka kuomba ruhusa kazini ikanibidi niondoke ijumaa baada ya saa za kazi ili jmosi na jpili niwe na mtoto. Basi jioni saa kumi nikatafuta usafiri kwa bahati nikapata Noha lakini ilitoka saa 12 jioni. Tulisafiri usiku mzima lakini yeye nikamwambia nitatoka kesho yake ambayo ni jmosi, sikutaka ajue kuwa nasafiri usiku na hakika hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri mbali kufuata mapenzi. Kwa hilo nijiona shujaa kwa vile niliona naonesha mapenzi ya dhati na kupapalia penzi pia.

Nilifka Dar saa 11 alfajiri nikiwa nimechoka hoi na usingizi kama wote, hivyo nakawaza sehemu ya kupumzka kwanza. Nikafanikiwa kupata sehemu ya kupumzka (lodge), nilaoga alafu nikalala lakini wakati huo nishamcheki yule binti kuwa nimepata gari ndogo (private) hivyo nitawahi kufika Dar. Akajibu " sawa me nitakuwa nakusubiri wewe ukifika nijulishe".
Ilipofika mida ya saa sita nikamwambia nimekaribia kufika na kufikia saa 8 nitakuwa mjini. Akasema "haina shida utanambia ulipofikia nije". Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.

Ilipofika ili mida nikamwambia nilipo, akasema anakuja maana alishatoka kwenye kipindi. Basi kweli alipokaribia nikamfuata na kuongozana nae hadi pale lodge. Basi ile kufika ndani nikashangaa kuona yuko busy na simu wakati alikuwa ananambia anashindwa kuongea na mimi sababu anabanwa na majukumu ya chuo. Nikajaribu kumwambia aachane na simu na aone uwepo wangu lakini bado kila dakika meseji zinaingia tuu, kama sio kawada basi za Watsapp.

Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo, roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali. Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni. Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.

Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa . Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.

Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.

Mwanamke hasomeshwi
 
Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.

Kwa nukuu hiyo hapo juu ilibidi tu ukate simu ujiandae upande gari kesho yake uachane na hiyo biashara,hujawahi sikia wapo wanachuo wanaishi maisha ya wanandoa pika pakua utegemee angelala nje?

Huyo alikuwa anatumikia ndoa yake ya chuoni.
 
nilisafirisha mtoto wa mtu toka Moro town kuja dar nami natokea kusini kufika dar anadai Yuko mbweni/boko tunakutana anasema twende bagamoyo tukamalizie siku huko,amenitumilisha gharama kweli harafu mwisho wa siku ananipa stori ya kuvuja,nikakunja USO nikamuambia hata tiktak itafanyika tuu,usinilete uhuni,Alivona Niko ,basi ngoja tupate vinywaji vya kukata damu basi Mimi fresh tu,nilipiga mpaka asubuhi,Tena Kuna kipindi wazungu hawaji,ila nikikumbuka ghalama zangu,picha upya,vitoto vya chuo hivii..
 
Ikabidi niichukue simu ili niweke mezani lakini akawa anazuia kushika simu take. Nikaanza kumtomasa ili nile nilichokisafiria, akadai anasumbuliwa na maumivu ya kichwa. Nikaona sasa nishaingia mtumbwi wa vibwengo😥😥, roho inaniuma mtu niliyemsafiria umbali wote lakini haoneshi kujali. Ikabidi nianze risala ya kumuweka sawa huku nashika kagauni kake kafupi alichovaa. Mwishowe nikafanikiwa kuvua pichu na nikaweka mkuyenge lakini hajavua like gauni. Nikashughulikaa mpaka wazungu walipokuja ndo kumuacha kwanza.

Nikaanza kumuuliza kama angeweza kulala akadai hawezi kulala na visababu kibao. Basi nijionea wazi kuwa hayuko na mimi kabisaa 🤢🤢🤢. Niliumia lakini mwisho nikamruhusu aondoke na kumsindikza hadi kituo cha daladala, nikampa nauli na kuagana nae kwa ahadi angenitafuta tena kesho yake ambayo ni jpili. Nikarudi zangu lodge nikiwa na mawazo hasa kilichotokea siamini na nitalalaje peke yangu usiku huo. Kulikuwa na manzi nachati nae FB siku nyingi nikamwambia siku nikija Dar ntakutafuta, kwahiyo nilipoona dalili ya kuwa huyu ninayemjia halali nikaanza kumpanga yule wa FB na hatimaye alikuja mida saa 4 usiku na ndiye nikalala nae hadi asubuhi. Nilifarijika kiasi maana usiku haukuwa mbaya.

Ilipofika asubuhi huyu wa FB nikaagana nae akasepa. Yule mwanachuo akanitafuta eti kunisalimia, nikamuuliza angekuja saa ngapi, akajibu "sina uhakika lakini nitakujulisha". Ilifika mida ya lunch nikala na kujaribu kumtafuta mwanachuo hapatikani hewani🤣🤣. Basi kwa vile sikuwa nimelipia hiko chumba ikabidi nipange namna ya kusafiri kurudi home.

Niliondoka saa kumi kwenda Mbezi kutafuta gari za kaskazini, nikafanikiwa kupata gari nikaanza tena safari ya usiku kurudi home. Njia nzima nilikuwa nasikiliza wimbo wa " Beka Fleva- poa poa" hadi leo nikiusikia huo wimbo nakumbuka tukio hilo.

Wanachuo mungu awaongoze kwa matendo yao!
Mtihani huu
 
Sasa wakati namwambia hivyo nikamchombeza kuwa " si umejiandaa kabisa kulala na mimi ?", akajibu "tutaangalia". Hapo nikaanza kupata mashaka kuwa hasingeweza kulala.

Kwa nukuu hiyo hapo juu ilibidi tu ukate simu ujiandae upande gari kesho yake uachane na hiyo biashara,hujawahi sikia wapo wanachuo wanaishi maisha ya wanandoa pika pakua utegemee angelala nje?

Huyo alikuwa anatumikia ndoa yake ya chuoni.
Wanaolewa kabisa kwa miaka mitatu au miwili mizima wakiwa vyuoni majamaa yanakula na kupakua chumba kimoja. Kinachokosekana kwenye ndoa hizi za vyuoni ni makaratasi tu. Halafu unakutana naye anakwambia eti mi sijawahi kuolewa. Kumbe alishaolewa ndoa bubu na si ajabu hata mimba kibao alishatoa. Wengi wao walishatumika sana kingono kwa kweli na kutokana na kuumizwa huko baada ya kutemwa ndo maana wengi wao wanaishia kuwa ma feminists uchwara! Ndiyo maana ndoa za wasomi hawa zinaongoza kwa talaka!
 
Wanaolewa kabisa kwa miaka mitatu au miwili mizima wakiwa vyuoni majamaa yanakula na kupakua. Kinachokosekana kwenye ndoa hizi za vyuoni ni makaratasi tu. Halafu unakutana naye anakwambia eti mi sijawahi kuolewa. Kumbe alishaolewa ndoa bubu na si ajabu hata mimba kibao alishatoa. Wengi wao walishatumika sana kingono kwa kweli na kutokana na kuumizwa huko baada ya kutemwa ndo maana wengi wao wanaishia kuwa ma feminists uchwara!
Sawa professor 🤺 tumekusikia mkuu
 
Back
Top Bottom