Ndivyo tunakwenda na wakati?

Hivi hawajishtukii?no mvuto kabisa...kitu kinatakiwa kiwe kama embe changa
 
dah.... nimejisikia vibaya kweli, maana huyu dada anajiheshimu aisee

sijui lengo lake lilikua hilo au ni bahati mbaya alijiangalia akiwa amesimama na hakujua akikaa mtindi utawekwa bayana zaidi ya nguo alizovaa

aisee
 
Tuanze na watoto wetu, wazazi tukiwaona wanavaa nguo zinazoelekea kuonyesha baadhi ya maumbile yao tuwapige marufuku, wakifika huku walipo hawa hawatafanya hivi. Kwa sasa hivi hawa wameshindikana
 
Siku hizi dada zetu wameona kama ni mtindo kuvaa nguo na kuacha sehemu za nyonyo zao wazi. Huku ndiko tunakwenda na wakati?

001.JPG

Inakuwa mbaya iwapo mmoja wao ni mamako!!!!
 
Ila haya mambo yana mix....enzi hizo most of African tribes walikuwa wanavaa au wanaficha viungo vya uzazi tu maeneo ya kiuno na huku juu kunakuwa open....even now some tribes still practise this.....katika jamii hiyo kilikuwa kitu cha kawaida....dunia inachange na mambo mengi yanabadilika....:mod::mod:
 
bora wavae baibui kuliko kutembea uchi ndio maana siku hizi hata makanisani wakiva nguo fupi wanafukuzwa
mwanamke mwenye heshima zake humkuti akitembae uchi anaetembea uchi ni cheap quality
 
Kweli hapo mipaka imevukwa si ange vua kabisa tujue alikuwa anaintension gani hivi kwa nini huwa sie binadamu (baadhi) hatukubaliani na umri kutuacha mkono teenager avae hivyo na Mama around 40's avae hivyo, huu ni uwendawazimu kujiheshimu kwishney.
 
Dah Maria Sarungi I thought ni anajiheshimu sana...anyway ni mavazi yao...ila kwa kuangalia na kutathimini nyonyo zako....hazijawa used sana ni umri na zenyewe zinakuwa kulinga na umri.
 
Mimi nakumbuka ile ya kuacha makalio nusu uchi ilishamiri sana na mpaka sasa bado ipo lakini naona sasa hivi kuachia nido ndio mambo ya kisasa sijui nini kitafuta hapo baadae? nawaachia kina dada.
 
Dah Maria Sarungi I thought ni anajiheshimu sana...anyway ni mavazi yao...ila kwa kuangalia na kutathimini nyonyo zako....hazijawa used sana ni umri na zenyewe zinakuwa kulinga na umri.
Huyo anaefuata nahisi ni Seven ndio walewaleeee
 
Back
Top Bottom