Ndivyo tunakwenda na wakati?

siku hizi dada zetu wameona kama ni mtindo kuvaa nguo na kuacha sehemu za nyonyo zao wazi. Huku ndiko tunakwenda na wakati?

001.jpg
ulimbukeni tu
 
Kuwa na matiti mazuri ni kweli mazuri lakini kwann wayaonyeshe? Are they doing business or what?



siku hizi dada zetu wameona kama ni mtindo kuvaa nguo na kuacha sehemu za nyonyo zao wazi. Huku ndiko tunakwenda na wakati?

001.jpg
 
Kwa staili hii na hiki kizazi kijacho sijui kama watoto watanyonyeshwa maana baadhi yao hudai kunyonyesha ndio kunasababisha titi kulegea
 
Duu! mambo ya kukataa uafrika na kutaka mambo ya kizungu ya kuanchia achia sehemu za mwili. ingekuwa zamani wote wangependeza kwenye mavazi ya khanga khanga hivi
Uafrika gani unazungumzia wewe? Hujui makabila mengi ya afrika tamaduni za mavazi zilikuwa ni za ku expose sehemu kubwa ya mwili? Fanya utafiti kidogo utagundua. Ustaarabu wa kuvaa nguo mwili mzima tuliletewa na western na waarabu.

Tukirudi kwenye mada, nadhani ukiachia cleavage kidogo ni sexy, but too much is tacky.
 
Back
Top Bottom