BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,812
- 5,766
Haha bongo movie noma, Jini anakupigia simu anakutishia atakuua
Iko gonjwa veve...
Haha bongo movie noma jini anakupigia simu anakutishia kua atakuua
Kweli mkuu, ukifuatilia hao mascript writers, directors wa hizo movies hawana shule kabisa ya hayo mambo, mtu akishindwa shule ndio anaishia kwenda huko, mambo yanafanyika kiugumuugumu na kijanja kijanja tu.....no profesionalism kabisa.....Watu hawataki kupata elimu ya hiki kitu,na walio na elimu ya hayo mambo hawajishughulishi nayo.
Awajui ckuhiz vyuo vikuu kuna degree za maigizo udsm paleKweli mkuu, ukifuatilia hao mascript writers, directors wa hizo movies hawana shule kabisa ya hayo mambo, mtu akishindwa shule ndio anaishia kwenda huko, mambo yanafanyika kiugumuugumu na kijanja kijanja tu.....no profesionalism kabisa.....