Ndio maana hatuzipendi Bongo movie kwa sababu hizi

Kweli mkuu, ukifuatilia hao mascript writers, directors wa hizo movies hawana shule kabisa ya hayo mambo, mtu akishindwa shule ndio anaishia kwenda huko, mambo yanafanyika kiugumuugumu na kijanja kijanja tu.....no profesionalism kabisa.....
Awajui ckuhiz vyuo vikuu kuna degree za maigizo udsm pale
 
guys hawa jamaa mwenyewe huwa siwaelewi..sijui tatizo huwa ni nini,,but hivi director wa SIRI YA MTUNGI ni nani?..katika maigizo ya bongo nasema tu ukwel ile ilinikamata asee,,those guys sijui hata wamwpotelea wapi..but walinifanya nistopishe kuangalia SERIES iliyokuwa imeninogea sana...Agents of SHIELD...duuu..walikaa kwenye ratiba yangu ya kutazama muvi asee..much respect kwa Yvonne (monalisa),,huyu kwangu ndo mwigizaji bora kabisa alowahi kutokea bongo...wapi chacha mtungi,hahahah,,,bongo movie zingine sizijui kusema kweli...
 
Yanatokea mapambano ya risasi mtu anajificha nyuma ya gari zinapigwa risasi nyingi cha ajabu gari haipasuki kioo wala haichubuki kwa risasi, halafu mtu ana kapistol cha risasi 15 ila anapiga zaidi ya 50 haziishi tuu
 
Huoni hata akibadilisha magazine ya risasi mtu anajipigia tuu marisasi, mwenye muvi lazima aigize handsome wakati ana sura kama anakunya! Mtu anaongea kama anasoma kitabu cha chekechea (soma kwa hatua) !
 
Ila kuna movie moja inaitwa street mafia nawapongeza saana kwa ngumi zilizopigwa mule ni Kali kuliko hata za kina j plus na seba unaona kabisa majitu yanapigana as if ipo kwenye slow motion.j plus watafute madogo wa street mafia you can learn something
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom