Ndio maana hatuzipendi Bongo movie kwa sababu hizi

Bongo movie niliona mzimu unaenda nunua vocha, watu hawauoni ila ulivyofika kuvuka barabara mbona ulisubiri magari yapite,

Nyingine niliona majambazi yameenda kuiba ila yakavua viatu mlangoni sasa hapo ndo ukawa mwisho wa kuangalia bongo movie
hahahahahahahahahaha
 
Mhusika akiongea kiswahili subtitle ya kiingereza akiongea kiingereza subtitle haipelekwi kwenye kiswahili.

Subtitle za baadhi ya muvi ziko hovyo nimeshuhudia chache zikiwa ziko sawa.

Mwenye bongo muvi alikua Sultan Tamba na Musa Banzi (kabla hajaanza kuonesha utumbo wake kwa kuanza kuigiza)
 
bongo muvi bongo lala taaluma isiyotumia akili.. nasema hivi kwa maana ili mwanamke awe muigizaji mzuri lazima awe na chura..chura ndo kipaji halisi cha uingizaji bongo muvi siipendi mpala na kufa.
 
tena wanaanzaga vizur ila wanamaliza kizembe kabisa.
Kweli. ..matatizo ni thinking capacity. ..wanazitengeneza kama wanavyowaza wao. .kwa hiyo director ndiyo mwenye matatizo angetakiwa afanye research. ..bahati mbaya kuna watu wanaridhika na kidogo. ..
 
Huwa natafuta usingizi kwa lazima ili nisiangalie sijui wamiliki wa magari huwa wanawachukuliaje abiria wao hivi ma fly emirate nao wana movie za ajabu wanashindwa tafuta hata john q?
Alafu wengi wasio zipenda kwenye magari ndo sehem yao yakuziona. Sijui kwanini magarini wsnapenda kaziweka !!
 
Mwenye nyumba Mara nyingi huwa anamkalipia mlinzi
Mlinzi mwoga kupita kiasi
Kijana wa miaka 25 kumiliki jumba kampuni magari
MTU anaigiza anaishi kijijini lakini kajipodoa, kang'aa ameseti nywele, bonge la bitoz


Nadhani swala la kisomo nalo lingezingatiwa na ma actor wetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom