Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
BABU JANA ULIKUTA KIBUA, WALI NA MAZIWA YA MGANDO
Vp umepona tumbo? Nasikia ulikunywa bia chafu
BABU JANA ULIKUTA KIBUA, WALI NA MAZIWA YA MGANDO
Loveness..huoni kuwa unahatarisha nanihii yako kwa kuingia PM na Babu?....Tuulize wakongwe hapa tukupe siri kuwa FirstLady1 anapeleka posa mahali ili babu apate mke wa 8!...stuka Loveness...Mi niko single maana nimedivorce aliyekuwa mke wa 4 mwaka jana!Wivu alosema babu nimeanza kuuona. babu usijali mimi na wewe kwenye PM basi.
Fidel ila na wewe sometime una busara hasa kwenye masuala ya vyupa
Mkuu, ni Tangazo la REVOLA au REVOLA YENYEWE!wanasema maji ya kifuu ni bahari ya chungu.... hongera kwa kumfanya mtu aamke na kujisikia vyema zaidi... damie kanikumbusha tangazo la revola!!!
Unakumbuka nilikuambia nimeihifadhi wapi hiyo heshima ulonipa?
Hongera bibie kwa kutupa sababu nyingine ya kutokula kibua na familia leo..Unakumbuka nilikuambia nimeihifadhi wapi hiyo heshima ulonipa?
Hongera bibie kwa kutupa sababu nyingine ya kutokula kibua na familia leo..
Mbn unampa laana ndogo huyu na wivu wake. Busara za babu hizo
Babu kumbe "HAWAVUMI KUMBE WAMO"
Loveness..huoni kuwa unahatarisha nanihii yako kwa kuingia PM na Babu?....Tuulize wakongwe hapa tukupe siri kuwa FirstLady1 anapeleka posa mahali ili babu apate mke wa 8!...stuka Loveness...Mi niko single maana nimedivorce aliyekuwa mke wa 4 mwaka jana!
Mbn unampa laana ndogo huyu na wivu wake. Busara za babu hizo
Nilishangaa ulipo mfagilia eti ana busara, mwenye busara anataka mtu apate minyoo ya nguruwe?
Umewahi iona minyoo ya nguruwe ilivyo?
Hahahaha.... we ni muzee ya kutafuta sababu;
Sababu ya leo............kujadili busara za babu Asprin
Location............. JJ Bar Sinza
Wahudhiaji........Wapwa na Wajukuu wa babu
Vinywaji.........Bia, Valuu na Konyagi.
Duration........... Kuanzia saa kumi mpaka muda wa kushiriki chakula na familia
Mgani Rasmi............DaMie
Wooooote mnakaribishwa kujongea meza ya babu.
Dogo mbona unaniwekea uzibe kila kona?