Nimekuwa mhanga wa mapenzi, siwezi lolote bila huyu Zuhura wa Khadija Kopa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Zuhura, kama unasoma bandiko hili, tambua tu ukweli kuwa nakupenda sana. Natamani nikuvishe pete ili tuishi kama mume na mke. Ni mimi Melki the Storyteller, na maneno haya nayasema kutoka moyoni bila kujali kupondwa na wanaume wa MMU

Yaani hata niwe na nani, kichwani ni Picha yako wewe tu. Kwanini lakini Zuhura? Nimeshakuja hapo Magomeni mara tatu, ni vile tu napata woga wa kuingia humo getini. Nakupenda sana Zu

Achana na huyo mwamba uje kwangu hapa Mabibo tuyaanze maisha yetu kama wanandoa, ingawa sina chochote kitu ila Mola atatujaalia tutakuwa wa juu sana, mama. Nitauza haya matikiti kwa nguvu zangu zote na akili yangu yote ili nihakikishe kila wiki unakwenda saluni mpenzi wangu

Zuu, nakukumbuka sana aisee, pale Paje miaka hiyo nilikuonja kwenye kombolela. Natamani turudie kwenye utu uzima huu, mama. Mwenzio silali bila kuisikiliza sauti yako kwenye "Naringa"

Naamini ipo siku Zuu. Hii picha yako huwa inanisevugi sana
images (2).jpeg
 
Komaa kuna wimbo wake mmoja anajisifu ana K laini.Kama nakuona utakavyokifaidi kibumbu kilaini kilichopakwa mafuta ya nazi.
 
Komaa kuna wimbo wake mmoja anajisifu ana K laini.Kama nakuona utakavyokifaidi kibumbu kilaini kilichopakwa mafuta ya nazi.
Huyu Du anayajua, enzi zile tuko Paje nilikuwa nikilala juu ya kifua chake, nasisimka sana. Sema tulikuwa utotoni tu
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Back
Top Bottom