Ndesamburo words to JK

ww ****** unafanya nini huku? kauze ccm, CDM hatununui makalio yenye laana, puru lako
Acha jazba makuu, hawa watu ni taratibu tu wataelewa. Haina mashaka ni kweli Ndesamburo alisema maneno hayo viwanja vya NMC Unga Ltd Arusha huku akilengwa lengwa na machozi baada ya polisi kuanza kupiga mabomu ya machozi na risasi hewani. Neno nilibold ni tusi.
 
Mbona jamaa ameandika kwamba maneno hayo yalisemwa tarehe 7/1/2011, hiyo tarehe 3 umeitoa wapi?
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

Kwenda mahakamani kudai HAKI ya KUANDAMANA? Hii imeanza lini?
 
Sasa ninapata picha mbaya sana kuhusu maisha ya Raisi Kikwete baada ya kumaliza muda wake wa uongozi. Nadhani Mr clean atakuwa ana nafuu na watu watamsamehe kwa kulinganisha na kitu Kikwete anajiundia kumalizia muda wake wa u-Raisi.
Ingefaa sana washauri wake wakajaribu kumtahadharisha kuhusu hili. Na yeye atakuwa na busara kama atachukua hatua za haraka kurekebisha mambo haya.

Inabidi amtoe IGP haraka sana maana tunahakika kuwa hakuna ripoti zozote za kiinteligensia anazo weza kuudhibitishia umma kuwa zilikuwa zinaashiria uvunjifu wa amani kwenye yale maandamano. Kwanza kabisa inaonekana hili ni jambo walikuwa wamepanga tangu baada ya matokeo ya uchaguzi. Walikuwa wanangoja tu Chadema ifanye mkutano wa hadhara na Dr.Slaa ahutubie kutangaza hadharani kuwa hamtambui Rais ili watume wahuni wao wenyewe kuanzisha vurugu na hapo ndiyo ingewezekana kupata hata sababu za kuua hata viongozi wa CDM. Mungu ameepushia hilo. Sasa inaonekana wanatafuta mianya mingine.
Nina hakika kabisa mpaka viongozi wengi namna hiyo wa Chadema kuhudhuria maadamano hayo wafuasi wao walishaonywa na hao hao viongozi watu wazima kama Mzee Ndesamburo, Dr. Slaa nk. Haiwezekani na haingii akilini kwa watu wazima kama hao wachague kipindi hiki cha maisha na umri wao kuanza kufanya fujo au kushiriki kwenye maandamano ya uharibifu.

Watu wote waliofanya ile fujo pale ni makachero wa CCM na kwa makusudi. Ndivyo chama hiki kilichojeuka kuwa cha kibabe sana kinavyoendesha mambo yake siku hizi. Sasa CCM imefilisika kimawazo mbinu zao zote zinaeleweka kwa jamii nzima ya watanzania. Mambo haya yanataka busara la sivyo siku ya siku kutakuwa jambo kama hili usikie hawa viongozi wa CDM walipigwa risasi na Jeshi letu litadai ilikuwa bahati mbaya haikukusudiwa. Kama wafuasi wa Chadema wangeleta fujo za kupambana na Polisi kwenye ile hali hilo lingetokea kwa kisingizio hicho. Mungu ametunusuru na jambo la hatari kubwa. Kwa ajili hiyo basi tunawaomba CCM na haswa Raisi Kikwete waangalie upya wanakotaka kulipeleka Taifa letu.
 
Kikwete kazoea laana yule, we mwache tu....2015..ajitahidi sana Slaa asiingie ikulu...hakitakuwa kisasi lakini atajibu kwa maovu yake....
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

we pimbi hakuna sheria ya kuzuia wananchi kuandamana nchi hii... ila katiba inasema ni haki ya kimsingi na kisheria kuandamana
 
Lakini unajua ni kweli? Mkoloni hakuwapiga mabomu na risasi waliodai uhuru wa bendera. Sasa Kikiwete anapiga mabomu na risasi wanaodai uhuru wa kweli? Heri mkoloni mweupe au mkoloni mweusi?
 
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price

Its nonsense! It's a price of what you killed in MASWA! You had to pay for it. Hadn't you??
 
Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.

Polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.

Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo.
 
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????

inaelekea bado umelala soma post kwa makini sio kukurupuka
 
Kweli historia iko wazi kabisa.. TANU ukidai uhuru haikumwaga damu..

Leo unadai katiba mpya na utawala wa sheria.... tunapigwa risasi na mabomu..

ila Mungu yupo...
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

GeniusBrain a.k.a Makamba,

Wewe na Makamba huna tofauti. You're CRAP.

Hakika kama huwezi kuona CHANZO,KIINI NA SABABU ZA MGOGORO WA UMEYA ARUSHA BASI Huwezi kujiita Genius. Hiyo unayoita GENIUS BRAIN kichwani mwako NI MAKAMASI TU YALIYOJAA KICHWANI! I am sorry to say that your IQ is just very similar to that of a CHICKEN!!

Wewe na Makamba wako tunatakiwa tuwapeleke Mirembe Mental Hospital mkafanyiwe Brain scan before it's too late ! Maana kama tutawaachia muendelee na ukichaa wenu huu basi nchi hii mnaitengenezea a TIMEBOMB ambalo mlipuko wake hakuna atakayeuhimili. Si CCM,KIWETE,MAKAMBA wala Genius-mav...!!!!!!!!!!!!Pambaf.
 
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????

Na wewe umetoka usingizini nini? Mbona wadau wamekuwekea hapo kuwa ni tarehe 7/1/2011!!!!! Soma upya hizo Thread za juu yako mkuu usiwe kama umekurupushwa mahali!
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani
yani wewe ndio hujui haki, wajibu taratibu wala sheria

maandamano ni haki ya kikatiba
 
Back
Top Bottom