Ndesamburo words to JK

Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

kweli kuna mijitu na mijiti wewe ni kijiti kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
sheria ipi? Tangu lini polisi wanatoa kibali cha maandamano? Polisi wanatoa ulinzi. Wewe lazima una u genius wa kuandika pumba! Post zako huwa zinanisikitisha tu!
mie zinanipa kichefuchefu kama maneno ya Kikwete....na sura yake ya kuchekacheka kama SHOGA
 
Hii Tarehe 3 imetoka wapi? watanzania tunashida gani? kwanini tunakuwa wapotoshaji wamakusudi namna hii? du inakatisha tamaa kitu kimeandikwa tena ni namba ambazo huwezi kufananisha hata kidogo du! sifuri kabisa.....

Kasoma kiarabu huyo ndugu yangu achana nae, Ukisema elmu madrasa eti mdini angalia sasa
 
Angepigwa bomu angekuwa hai kusema hayo unayo yasema?
Originally Posted by Inkoskaz
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
Una maanisha Kikwete angepigwa bomu angekuwa anachekacheka kwenye huzuni au? Simpendi Kikwete na kamwe sitompenda huyu muuaji
 
Hii Tarehe 3 imetoka wapi? watanzania tunashida gani? kwanini tunakuwa wapotoshaji wamakusudi namna hii? du inakatisha tamaa kitu kimeandikwa tena ni namba ambazo huwezi kufananisha hata kidogo du! sifuri kabisa.....
Mkuu, humu kuna watu kazi yao ni hiyo tu!!
 
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price

Kwa kweli hayo maneno Mzee aloyatamka ni rahisi kwa kutamka but kwa mwenye akili zake yamebeba ujumbe mzito sana kwa JK... Anyway nashawishika rasmi kuungana na liberalism movement in Tz, tunataka mabadiliko "And this is serious" Tumechoka na uhuru wa bendera...
 
Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.

Polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.

Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo.

Duh,ila kweli hawa kenge inabidi tuwape discipline;wanaishi maisha ya hovyo wanaona ndio halali yao?
Sema wapo wanajeshi,polisi wanaofikiria kama sisi..kama wafuasi wa cdm,wapo wanaharakati ndani yao. Hao najua tutawahitaji siku ya siku itakapofika,kushinikiza wenzao watulie
 
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????

Na wewe! Angalia vizuri, ni gazeti la 7/1, na mimi niliona na kumsikia Ndesamburo akilalamika kwenye TBC 1 Television Broadcast.
 
Jk ni sikio la kufa halisikii.......... so hata angeambiwa nini jamaa huwa haelewi
 
Maneno ya kipuuzi unayaita ya busara?

Ndesamburo ni mzee mwenye tabia za kihuni. Anadiriki kusema eti nchi haitatawalika....mpuuzi kweli kweli.

Anadhani nchi ni guest house mpaka isitawalike? ... Wenye uchungu na nchi hii tutahakikisha inatawalika!

Mzee huyu hana busara na hawezi kumlaani hata panzi.....aliyelaaniwa anaweza kulaani?

kweli wewe kishongo
 
yale maneno yanaaza kuonekana matokeo yake..moto umesambaa huko kanda ya ziwa mpaka Dr JK amehisi joto lake
 
Una maanisha Kikwete angepigwa bomu angekuwa anachekacheka kwenye huzuni au? Simpendi Kikwete na kamwe sitompenda huyu muuaji

Swadakta!! wewe ndiwe haswaa umewakilisha mawazo au yaliyo moyoni mwa wengi humu. Siku zote nilikuwa najiuliza, lakini leo nimepata jibu. Kumbe ni CHUKI BINAFSI ndiyo inawasumbua?? Kama humpendi,, saga chupa unywe basi kama vipi Bro. Duh! yaani Mtu analala anafikiria tu saa ngapi kupambazuke aje amtukane Rais humu? Ama kweli hiki ni kizazi cha nyoka.
 
people humu wanadiscuss reality sio chuki wala ushabiki
 
Back
Top Bottom