Ndesamburo words to JK

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
 
Laana kwa JK Itamatafuna tu hivi karibuni
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
 
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
 
Noted.. but pia ijumaa haikuwa tarehe 3
 
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????

Magafu! Mbona ametoa ufafanuzi kuwa ni tarehe 7 - 1 - 11 na siyo trh 3?
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

Na yule mamluki kutoka tanga hana hata aibu anaenda kujazia kura--HAZITOSHI HATA IWEJE!
 
Nakumbuka ule msemo wa Jamaa, kuhusu msemo wa walimwengu kuhusu Asiyefunzwa na Mama Yake....
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

sheria ipi? Tangu lini polisi wanatoa kibali cha maandamano? Polisi wanatoa ulinzi. Wewe lazima una u genius wa kuandika pumba! Post zako huwa zinanisikitisha tu!
 
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
Mh!! hi ni laana kubwa sana kwa JK......This is sign of fail to ccm
 
Hii Tarehe 3 imetoka wapi? watanzania tunashida gani? kwanini tunakuwa wapotoshaji wamakusudi namna hii? du inakatisha tamaa kitu kimeandikwa tena ni namba ambazo huwezi kufananisha hata kidogo du! sifuri kabisa.....
 
Back
Top Bottom